Nimesahau jina la Mbunge, naombeni Sana anayemkumbuka.....kama sio bunge la 2015-2020 basi ni hili la sasa ila Magufuli alikua hajavuta bado.
Alikua Mbunge wa kike na aliyatamka Maneno kuwa "kwa namna Ubunge ulivyomtamu, Yuko tayari kuuwa ili apate/asikose Ubunge" . Tafadhali mwenye ako nayo Ile clip au jina la Mbunge.
Natanguliza shukrani, najua JF kila kitu kinawezekana