Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,224
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kukupinga hayupo, Na wala hatochomoza.
Yeah!Naomba kibali chako.
Kademka.Hata hakucheza...
Muimbaji ht simjuiYeah!
Ila ni wengi walioimba huu mwimbo hawajaimba vizuri kama huyo muimbaji hapo kwa Samia.
Jina lake sijui nani?
sadiq pia ameufanyia cover, ule original sijui umeimbwa na mkongwe gani.Muimbaji ht simjui
watu na ufundi wao wa kuandikaWa kukupinga hayupo, Na wala hatochomoza.
Naomba kibali chako, nipate kuwaeleza .
Kilonigandisha kwako, wao nikawapuuza