Naomba kabla ya Saa 7 Kamili Mchana leo mniambie mnataka Kocha Pablo aanze na Kikosi kipi Kati ya hivi Viwili viifuatavyo?

Naomba kabla ya Saa 7 Kamili Mchana leo mniambie mnataka Kocha Pablo aanze na Kikosi kipi Kati ya hivi Viwili viifuatavyo?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kikosi A

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Henock Inonga
6. Jonas Mkude
7. Pape Ousmane Sakho
8. Rally Bwalya
9. Kibu Denis
10. Meddie Kagere
11. Bernard Morrison

Kikosi B

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Pascal Wawa
5. Henock Inonga
6. Jonas Mkude
7. Bernard Morrison
8. Muzamiru Yasin
9. Pape Ousmane Sakho
10. Chris Mugalu
11. Peter Banda

Jadilianeni upesi na mpaka Saa 7 za Mchana wa leo nitakichukua ambacho Wengi wenu mmekipendekeza hapa ili kifanyiwa Kazi Maalum ya mara ya mwisho ili kuanzia Saa 1 Usiku wa leo hadi Saa 3 Usiku wana Simba SC na Watanzania wenye Maoenzi Mema mfurahi huku Bwana Harusi Bingwa wa Kukimbiwa na Wake anaowaoa mara kwa mara, Wachunga Ng'ombe wenye Kwashakoo na Wapokeaji Wageni Tanzania waendelee Kununa na Kuumia Moyoni na Rohoni.

Kazi Kwenu.
 
Popomaaaaaaa
 
Hii timu sijui imefikaje huku maana ina wachezaji wabovu sana, inshallah leo wapigwe warudi wanakostahili kuwa
 
Back
Top Bottom