Frank quails
Member
- Jan 15, 2014
- 10
- 1
Vipi mambo?Ni shilingi 300 za Tanzania lakini bei itashuka iwapo wataka mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu..Asante kwa kuchangia maoni wako.Ni jambo la kusitisha eti serikali ya Tanzania haitaki tufanye biashara.Hii ni fursa njema sana yako wewe tutengeneza mamilioni ya pesa.Usiogope Taratibu za serikali.Mimi mwenyewe nilianza ufugaji wa kware bila cheti kutoka kws.Kuna watu wengi wanoufuga bila hizo permit maanake kule kws kuna idadi kubwa sana wa watu wanaotaka hizo permit.unakawia sana kabla uipate.Kama uko roho juu,tunaweza kushirikiana tufuge hawa ndege pamoja.Tatizo letu hapa,mwezi wa januari na februari huwa mbaya kufanya biashara.hii ni fursa nzuri ya kuleta mayai yangu huko tufanye biashara.Hata mashine ya kutotolea nina ujuzi wa kuunda.
Frank
Samahani..Jibu lako lako nimelituma pasipofaa. Mkuu..Asante kwa kuchangia maoni wako.Ni jambo la kusitisha eti serikali ya Tanzania haitaki tufanye biashara.Hii ni fursa njema sana yako wewe tutengeneza mamilioni ya pesa.Usiogope Taratibu za serikali.Mimi mwenyewe nilianza ufugaji wa kware bila cheti kutoka kws.Kuna watu wengi wanoufuga bila hizo permit maanake kule kws kuna idadi kubwa sana wa watu wanaotaka hizo permit.unakawia sana kabla uipate.Kama uko roho juu,tunaweza kushirikiana tufuge hawa ndege pamoja.Tatizo letu hapa,mwezi wa januari na februari huwa mbaya kufanya biashara.hii ni fursa nzuri ya kuleta mayai yangu huko tufanye biashara.Hata mashine ya kutotolea nina ujuzi wa kuunda.
Mkuu..Asante kwa maoni yako.Siko hapa kuwalaghai watu.Nataka kuwekeza huko Tanzania.Nina mayai na mashine ya kutotolea.Nataka Mtanzania wa kushirikiana naye.Sina ubaya wowote.Mimi mwenyewe ntayaleta mayai.
Acha kudanganya watu, mayai ya kuku yenyewe hayaruhusiwi kuingizwa nchini sembuse kware? Kuku wanao fugwa bila vibari hairuhusiwi kuingiza mayai, tuambie hayo unayaingiza vipi, unataka kuwakamata wa Tz?
Taratibu mkuu wacha tujifunze fursa zingine kwanza.[/QUO
Tehe tehe, inaonekana huwajui hawa jamaa,
Natafuta mayai ya kwale na Kanga na bei zake kwa trei tafadhali wana jamvi
Mkuu naekeza ninacho fahamu hapa watu watalizwa halafu watarudi huku kulia, mkuu huwezi ingiza mayai ya kware nchini bila kibari toka Wizara tena ya mifugo na Mali asili, tunapenda kupapatikia sana, Dar si yapo? Why watu wasichukue Dar kuliko kudanganywa? Mayai ya kuku yenyewe huwezi ingiza Tanzania sembuse kware, so sina ugonvi naye nawaeleza ninacho jua na hata yeye huenda hajui au anajua anafanya makusudi, Kenya hakuna anaye fuga bila kibari cha Kws na hata kutoa nje ya kenya lazima uonyeshe kibari si kazi ndogo.I smell something like "conflict of interests" Chasha na Frank quails calm down.
Nakupata sana na sikusema ninataka mayai ila nilitaka kujua anaingizaje? hapa tayari watu wanafuga ila hawawezi uza nje kwakukosa vibali sio vibaya tukujifunza wenzetu wanawezaje kuleta bila vibali kwao, pia yeye akileta huku ananisaidiaje mimi kuweza kuuza hao kware nje. Kule MUVI kwenye websites zao mbona tunajadiliana bila kujali tumetokea wapi na kuna documents nyingi nimepata kwao. Mtu keshaingia hadi huku huwezi kumzuia asisome hizi mada na zaidi unamtoa kwa kumwelekeza TIB wakati yeye alikuwa anatafuta watu hapa nyinyi ndio mwende TIB mpate kibali. Sikuona kitu kibaya kama anachangia mawazo yake hapa afterall anasoma mawazo yetu pia.Taratibu mkuu wacha tujifunze fursa zingine kwanza.[/QUO
Tehe tehe, inaonekana huwajui hawa jamaa,
Nakupata sana na sikusema ninataka mayai ila nilitaka kujua anaingizaje? hapa tayari watu wanafuga ila hawawezi uza nje kwakukosa vibali sio vibaya tukujifunza wenzetu wanawezaje kuleta bila vibali kwao, pia yeye akileta huku ananisaidiaje mimi kuweza kuuza hao kware nje. Kule MUVI kwenye websites zao mbona tunajadiliana bila kujali tumetokea wapi na kuna documents nyingi nimepata kwao. Mtu keshaingia hadi huku huwezi kumzuia asisome hizi mada na zaidi unamtoa kwa kumwelekeza TIB wakati yeye alikuwa anatafuta watu hapa nyinyi ndio mwende TIB mpate kibali. Sikuona kitu kibaya kama anachangia mawazo yake hapa afterall anasoma mawazo yetu pia.
Nitoke nje ya mada kidogo Mama Joe,hiyo MUVI ni nini mkuu?nahisi niko nyuma kidogo!
Oh sorry MUVI ni ya watanzania (Muunganisho wa Ujasiriamali Vijijini) wao yao ni Beehive ni nzuri sana ina maelezo mengi kuhusu kilimo ufugaji na kadhalika. Tanzania pia imo Beehive ila hakuna information nzuri za kilimo.Nitoke nje ya mada kidogo Mama Joe,hiyo MUVI ni nini mkuu?nahisi niko nyuma kidogo!
Hayo mayai ukimuwekea kuku anayelalia yanatoa kwale?
Hayo mayai ukimuwekea kuku anayelalia yanatoa kwale?
aisee kwa hiyo mayai ya kwale ni nyara za taifa kama pembe za ndovu ama?Huku Arusha naweza kukufanyia mpango wa mayai ya kware wa Kijapani ambao ndo kware bora kabisa, make tambueni kware nao ni kama kuku si kwamba kware ni kware tu,Ila kwa sababu ya kibari ni bora mtu akaja kuchukua mwenyewe na njiani aweze kujitetea mwenyewe kwa sababu watu wa Mabasi haawezi kubali kusafirisha make inaweza kula kwao mazima.
Au ukiwa na ndugu yako unaweza muagiza akakuchukulia,