Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

Samahani..Jibu lako lako nimelituma pasipofaa. Mkuu..Asante kwa kuchangia maoni wako.Ni jambo la kusitisha eti serikali ya Tanzania haitaki tufanye biashara.Hii ni fursa njema sana yako wewe tutengeneza mamilioni ya pesa.Usiogope Taratibu za serikali.Mimi mwenyewe nilianza ufugaji wa kware bila cheti kutoka kws.Kuna watu wengi wanoufuga bila hizo permit maanake kule kws kuna idadi kubwa sana wa watu wanaotaka hizo permit.unakawia sana kabla uipate.Kama uko roho juu,tunaweza kushirikiana tufuge hawa ndege pamoja.Tatizo letu hapa,mwezi wa januari na februari huwa mbaya kufanya biashara.hii ni fursa nzuri ya kuleta mayai yangu huko tufanye biashara.Hata mashine ya kutotolea nina ujuzi wa kuunda.
 
Karibu Tanzania, ni mashine ya aina gani unazounda za mafuta ya taa? Umeme? Kuhusu vibali naona haina tofauti na hapa. Ila tungependa kujua utayafikishaje hapa Tanzania au sisi tufuate? Na mashine?
 

Acha kudanganya watu, mayai ya kuku yenyewe hayaruhusiwi kuingizwa nchini sembuse kware? Kuku wanao fugwa bila vibari hairuhusiwi kuingiza mayai, tuambie hayo unayaingiza vipi, unataka kuwakamata wa Tz?
 
Na hakuna Gari itakayo pakia hayo mayai bila kuwaonyesha import permit, na boda hupekua gar zima na ukikutwa nayo si kwamba watakunyang'anya bali inakula kwako, Nilishuhudia siku moja mayai yakawaida yakiteketezwa, so sio rahisi kama unavyo taka kuaminisha watu.
 
Mkuu..Asante kwa maoni yako.Siko hapa kuwalaghai watu.Nataka kuwekeza huko Tanzania.Nina mayai na mashine ya kutotolea.Nataka Mtanzania wa kushirikiana naye.Sina ubaya wowote.Mimi mwenyewe ntayaleta mayai.
 
Mkuu..Asante kwa maoni yako.Siko hapa kuwalaghai watu.Nataka kuwekeza huko Tanzania.Nina mayai na mashine ya kutotolea.Nataka Mtanzania wa kushirikiana naye.Sina ubaya wowote.Mimi mwenyewe ntayaleta mayai.

Watafute hawa watu, TIC watakupa maelezo yote kuhusu uwekezaji.
 
Taratibu mkuu wacha tujifunze fursa zingine kwanza.
Acha kudanganya watu, mayai ya kuku yenyewe hayaruhusiwi kuingizwa nchini sembuse kware? Kuku wanao fugwa bila vibari hairuhusiwi kuingiza mayai, tuambie hayo unayaingiza vipi, unataka kuwakamata wa Tz?
 
I smell something like "conflict of interests" Chasha na Frank quails calm down.
Mkuu naekeza ninacho fahamu hapa watu watalizwa halafu watarudi huku kulia, mkuu huwezi ingiza mayai ya kware nchini bila kibari toka Wizara tena ya mifugo na Mali asili, tunapenda kupapatikia sana, Dar si yapo? Why watu wasichukue Dar kuliko kudanganywa? Mayai ya kuku yenyewe huwezi ingiza Tanzania sembuse kware, so sina ugonvi naye nawaeleza ninacho jua na hata yeye huenda hajui au anajua anafanya makusudi, Kenya hakuna anaye fuga bila kibari cha Kws na hata kutoa nje ya kenya lazima uonyeshe kibari si kazi ndogo.
 
Last edited by a moderator:
 
 
 
Sidhani maana ni vidogo na vina rangi kuku wanaangalia sana na kunusa kama wakiona sivyo huwa wanatabia ya kuyasukuma mayai wanayohisi sio yao nje. Pia sijajua yanatumia muda gani kutotolewa
Hayo mayai ukimuwekea kuku anayelalia yanatoa kwale?
 
aisee kwa hiyo mayai ya kwale ni nyara za taifa kama pembe za ndovu ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…