aisee kwa hiyo mayai ya kwale ni nyara za taifa kama pembe za ndovu ama?
Oh sorry MUVI ni ya watanzania (Muunganisho wa Ujasiriamali Vijijini) wao yao ni Beehive ni nzuri sana ina maelezo mengi kuhusu kilimo ufugaji na kadhalika. Tanzania pia imo Beehive ila hakuna information nzuri za kilimo.
Ahsante Mama Joe!kweli upo updated sana ndugu yangu!unaweza kunipa msaada wa link hizo mbili ya beehive na MUVI?
thanks a lotHa ha ha!mkuu pembe za ndovu unaweza ukatangaza kua unazo na unauza kirahisi kama mayai ya kwale?hawa ndege ni kama wasemavyo kanga kua kufuga wanahitaji kibali,ila sijawahi sikia mtu kapelekwa mahakamani kwa kufuga kanga,tena siku hizi wanauzwa mpaka mabarabarani na hakuna mtu anaeulizwa!ufugaji wa kwale umeanza kua maarufu kwa Watanzania kwa siku hizi za karibuni,kama Dar ufugaji huu umeanza shamiri kwa kasi
asante ninapenda kusoma ili nichuje si unajua tena mitaji ya kuunga halafu uingie kichwa kichwa tu... Poultry Farming - Ukulima-Smart...Ahsante Mama Joe!kweli upo updated sana ndugu yangu!unaweza kunipa msaada wa link hizo mbili ya beehive na MUVI?
Ukulima | The Beehive - Kenya
MUVI - Habari
Ha ha ha!mkuu pembe za ndovu unaweza ukatangaza kua unazo na unauza kirahisi kama mayai ya kwale?hawa ndege ni kama wasemavyo kanga kua kufuga wanahitaji kibali,ila sijawahi sikia mtu kapelekwa mahakamani kwa kufuga kanga,tena siku hizi wanauzwa mpaka mabarabarani na hakuna mtu anaeulizwa!ufugaji wa kwale umeanza kua maarufu kwa Watanzania kwa siku hizi za karibuni,kama Dar ufugaji huu umeanza shamiri kwa kasi
asante ninapenda kusoma ili nichuje si unajua tena mitaji ya kuunga halafu uingie kichwa kichwa tu... Poultry Farming - Ukulima-Smart...
Ukulima | The Beehive - Kenya
MUVI - Habari
Thanks kwa hizi useful link Mama Joe!
Ni kweli kabisa tatizo ni kuwa hatuwezi kuuza nje au kwa wingi lakini kufuga tu haikatazwi ila kuuza nje uwe na kibali ndo nikashangaa kumbe kibali cha kuingiza mayai fresh kama kipo kwanini waseme bado ni nyara Tanzania hii iko nyuma sana
Tanzania kwa kweli bado tumelala sana,tatizo hata hao tuliowachagua kutuongoza na hata hao walio kwenye mamlaka husika nao wamelala vibaya na hawajui lolote,na wala hawana ubunifu wowote zaidi ya urasimu tu...fursa tunazo nyingi lakini akili zetu zimelala vibaya sana!tumekalia politics kila kukicha!mfano mdogo tu hata hapa JF ukiangalia wafuatiliaji wa jukwaa la ujasiriamali kila siku ni wale wale tu!!ila jukwaa la siasa huku vijana ndio wamejaa kila dakika,kuna kazi kubwa ya kuchange mindset zetu kwa kweli
So sad inasikitisha sana, hatukatai siasa ila watu kuwa na porojo tu hata maofisini hivyo hivyo jioni kwenye pubs wanaendelea, come weekend nayo ivo ivo..... Tumezungukwa na mapori, sasa na wawekezaji wamejaa hivyo wateja wapo lakini shopping mall zetu bado zinajaza kuku na nyama toka nje kisa quality na quantity tunashindwa kuungana / kuaminiana. Taratibu lakini watakapoona hamna tena ajira au njaa imezidi wataamka tu. All the best
Thank you sir.With all due respect,i acknowledge everyone's opinion or idea and even encourage it.But no one has a right to force their opinion on you if you're not willing to accept it.The negative articles,regarding quails,in the kenyan newspapers are written by officials who have been corrupted by chicken cartels who now realise the quail is a threat.That's a fact.Giant chicken rearers(cartels) such as Kenchic are going ballistic.In order for a kenyan farmer to rear and supply day old Kenchic chicks,you need to pay a lot of money and must buy their chicks at an astronomical amount of cash.Now,you can understand why such cartels will pay the papers any amount for a worthless story on quails.Quail farming will raise the living,health standards and ensure food security in the region.Let's approach it with an open mind,analytical attitude and with a purpose of accepting what's true and rejecting what's untrue.Thankyou sir.
Mkuu Naomba kuchangia kidogo.Hawa kware ni wa umri upi?kama ndo wameshatotolewa,wape chakula kama vile vifaranga wa kuku.yaani Chick start(unaichanganya na maji),starter mash kama ya broiler,glucose na maji.Chunga wasiingie ndani maji maanake watafariki.Waweza kutumia bakuli ya maji lakini uweke kokoto safi ndani wasizame.
Mkuu uko wapi? Ya kware naweza kukupatia ila shariti kubwa ni kwamba ni lazima uje kuchukua Arusha mwenyewe, siwezi yatuma kamwe.
Huwezi safirisha mayai ya Kware kutoka Kenya had Tanzania, ya kuku yenyewe hairuhusiwi sembuse ya kware, kumbuka huku watu wanafuga tu bila permit tofauti na Kenya ambapo wana permit kutoka KWS, huku hata ku export haiwezekani.