Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

Mimi ninayo ya kwale trey 20000 yapo kibaha utapata hata ukitaka trey 20 au hata zaidi...call 0768647751

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…