Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 289
- 291
Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.
Naomba kama kuna mwenye kazi au connection za kazi zote professional nimesoma kozi ya accounting with IT na ambazo si professional nafanya kwa moyo mmoja aniconnect nofanye kazi au kama ni kwakujitolea walau kwa malipo ya kujikimu. Nipo dar es salaam 0674793564.
Shukran sana.