themachinetz
New Member
- Feb 2, 2025
- 3
- 1
Elimu:Elimu ya juu(A - LEVEL)
Ujuzi: VETA na SIDO.
Makazi: Dar
Naweza fanya Kazi: Popote
Ujuzi wangu wa miaka zaidi ya minne(4) unajumuisha:
*Uundaji wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa ndege (Incubators)
*Uundaji wa mashine za kukausha mazao na samaki
*Uundaji wa mashine za kugandisha barafu za mifuko
*Uundaji wa mashine za kugandisha barafu za blocks
*Uundaji wa mashine za kutengeneza Ice Cream
*Uundaji wa vyumba vya baridi (Coldrooms)
*Uundaji wa pampu za maji za kutumia nguvu ya upepo(Wind turbine water pump)
*Ujenzi wa mifumo ya umeme na umeme wa jua (Solar Energy)
Ujuzi wa Ziada
*Ujuzi wa Ziada:
*Kuchomelea kwa Umeme
*Kuchomelea kwa Gesi
*Ufanisi katika Matumizi ya Kompyuta
*Programu: Microsoft Office (Excel, Word, Publisher, na PowerPoint)
*Udereva(gari za binafsi).
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote,kwa makubaliano maalumu au mkataba na watu binafsi au taasisi.
Pia, nipo tayari kushirikiana na mtu yeyote anayetaka kuanzisha kampuni ya karakana ya uzalishaji wa mashine kama hizi, ambapo tutashirikiana mawazo na kubuni njia bora za utekelezaji.
Kwa Cv au Mahojiano,tafadhali wasiliana nami kupitia ujumbe binafsi (PM).
Asante.