umefikia wapi na huyo jamaa wa kupiga jembe mkuu!Bado sijapata kazi wakuu, msaada tafadhari
wapi huko mkuu nije kupiga jembe?Kupiga jembe unaweza?
Tafuta vituo vya chekechea kafundishe watoto .. au tution center zipo nyingi kafundisheNi kijana wa miaka 26, mwenyeji wa mbeya ambae kwa sasa ninaishi Bagamoyo-Pwani. elimu yangu ni.kidato cha sita PCB, ninaweza computer vizuri katika shughuli za video library, kuflash simu na shughuli za kisteshionali.
Nina nguvu ya kufanya kazi yeyote kwa maelekezo kiasi. kwa yeyote aliepo dar ama pwani naomba unisaidie kupata kazi yeyote hata kwa malipo ya chakula na mahala pa kuishi. Ahsante
kila la heri mkuu. tunapitia kwenye wakati sawajamaa hajareply wala kunipigia mpk sasa
Weee unazani kufundisha tution na chekechea watahitaji cheti chako kakahili pia wazo, but ni possible kupata kwa mtu nisiekuwa na taaluma husika