Naomba kazi

Naomba kazi

Peribus

Senior Member
Joined
Nov 28, 2021
Posts
101
Reaction score
177
Mimi ni mchumi kutoka chuo Cha ushirika Moshi(MoCU)
TITLE: MR
PROFESSION: ECONOMIST
EXPERIENCE: FRESH GRADUATE
LOCATION: MBEZI-DAR ES SALAAM

Naomba kazi yoyote halali ambaye daily naweza pata kuanzia 10k .
*Naweza kuandika (Research)
* Naweza kufanya data analysis kwa kutumia SPSS na Excel sambamba na kuchambua matokeo
*Naweza kufundisha shule ya msingi (maths) kwa mchepuo wa kingereza, sekondari (Economics ) kwa A-level, Geography and History kwa O-level( nauzoefu wa miaka mitatu nikiwa nafundisha)
*Kazi yoyote na taasisi yoyote naweza kufanya nao kazi ( Micro and Macro basis) ikiwemo taasisi za kifedha, biashara na za kijamii
Napatikana kupitia email (a30206067@gmail.com)
Asanteni
 
tangazo.jpeg
tuma maombi hapo mkuu
 
Back
Top Bottom