MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,840 Reaction score 8,202 Jan 26, 2026 #1 Kwa nini hapa Tanzania akitokea mtu akipambana na wezi wa mali za umma anatolewa uhai Naomba kila mtanzania ajiulize hili swali Kama bado hatujitambui tumpe nchi Trump
Kwa nini hapa Tanzania akitokea mtu akipambana na wezi wa mali za umma anatolewa uhai Naomba kila mtanzania ajiulize hili swali Kama bado hatujitambui tumpe nchi Trump
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,498 Reaction score 14,946 Jan 26, 2026 #2 Huyo trump hana Uhai? Naye watamtoa tuuu.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Jan 26, 2026 #3 Kwa sababu serikali hii haramu imeingia kwa wizi wa kura hivyo mtu yoyote anayekemea wizi anaonekana kuwa anaisema Serikali hivyo lazima atekwe na kuuwawa.
Kwa sababu serikali hii haramu imeingia kwa wizi wa kura hivyo mtu yoyote anayekemea wizi anaonekana kuwa anaisema Serikali hivyo lazima atekwe na kuuwawa.