Naomba kuelekezwa haya kuhusu mafao ya NSSF

Ninavyo fahamu mimi kwa wafanyakazi wa private siyo issue kupata mafao yako. Kama umeacha/umeachishwa kazi unapeleka tu barua ya kusitisha ajira inatoka ofisini kwako then watakupa maelekezo na ukifanya follow up basi utajua ni siku gani mpunga utamature na wanakuwekea kwenye akaunti yako ile ya mshahara.
Ila kwa wafanyakazi wa serikali sijui ikoje kwao.
 
Wewe unaongea unavyofahamu,mimi nasema kinachofanyika.Usidanganye watu,nenda nssf uone watu wanavyohaingaishwa.Hakuna cha private wala nini ,nssf moto ni uleule.
 
Back
Top Bottom