pole mkuu.. unatukanwa na nani??
Haiwezekani,mimi hapa nina mwaka toka niache kazi nazisubiri wamenambia mwezi wa kumi.Hapa hom natukanwa balaa