Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa Cha habari kinajieleza vema, Mwenye kufahamu vyuo hivyo Jijini Mwanza naomba anipe Maelekezo na wilaya kilipo!!!
Nawasilisha!!
Nilikuwa sijaelewa kama unataka hivo nenda www.tcu.go.tz afu download guide book yao utaona vyuo vyote vya kumbukumbu humo na kama ni diploma visit nacte utaona orodha ya vyuo vyote na kozi wanazotoaDUuUh sijuI ni stress za maisha?? Mimi nauliza vyuo vya masomo