Sambare
Member
- Jul 1, 2017
- 84
- 61
Habari zenu wakuu. Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll
Mf majina ya nida na birth certificate yanasoma Ikupa Samwel Seba lakini vyeti vya taaluma vinasoma Ikupa S Seba . Je hapo nahitaji deedpoll kweli?
Na je Mfano nida na Cheti cha Kuzaliwa ni Ikupa Samwel Seba , vyeti cya kitaaluma vinasoma Ikupa Samwel nahitaji deedpoll pia ??? Au affidavit inatosha kwa scenarios zote mbili
Asante