Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hapo ni affidavit tuu.
Tsh 10k unapata
Kama huna connection ya affidavits nitafute.
Tsh 10k unapata
Kama huna connection ya affidavits nitafute.
Inawezekana haujui maana ya kukosea jina.Tayari ndo yamekosewa
Kama umeshakata tamaa ya maisha usiwakatishe wengine. TRA sio mbinguni kwamba ni wateule wachache wataenda. Binafsi nina marafiki wengi kutoka familia za kawaida wamepata kazi TRA. Karibu classmates 10 kwenye darasa letu lililokuwa na wanafunzi 45 wako TRA.Boss TRA hupati, nafasi chache sana na wenye nchi washapeana. Tafuta Kazi nyingine ya kufanya
we we ndo hujuiInawezekana haujui maana ya kukosea jina.
Ili useme watu wamepewa hizo kazi lazima uonyeshe juhudi kwamba ulipambana kupata hiyo nafas ila mwishowe hukufanikiwa kuliko kukaa tu bila kujaribuAtasema una roho mbaya ila ndio ukweli.
Kiukwel hizo kazi za tra kwa kijana maskin ni kupoteza muda.
Wamepata lini?, unajua idadi ya walioomba? Unajua idadi ya wanaohitajika? Unajua chamgamoto aliyokua nayo mleta mada?. Usiwe kama nyumbu kwamba kama wengine wamepita mtoni hawajaliwa na mamba basi na mimi napita. Uwe unatafakari kidogoKama umeshakata tamaa ya maisha usiwakatishe wengine. TRA sio mbinguni kwamba ni wateule wachache wataenda. Binafsi nina marafiki wengi kutoka familia za kawaida wamepata kazi TRA. Karibu classmates 10 kwenye darasa letu lililokuwa na wanafunzi 45 wako TRA.
Wewe ndo unatoa ajira au TRA? Usikatishe tamaa watu.Wamepata lini?, unajua idadi ya walioomba? Unajua idadi ya wanaohitajika? Unajua chamgamoto aliyokua nayo mleta mada?. Usiwe kama nyumbu kwamba kama wengine wamepita mtoni hawajaliwa na mamba basi na mimi napita. Uwe unatafakari kidogo
Haya maandish yananiumiza sana , mi maskin msomiBoss TRA hupati, nafasi chache sana na wenye nchi washapeana. Tafuta Kazi nyingine ya kufanya
Wakatisha tamaa 😅 job makini_ mwamba wa kaskazini.Boss TRA hupati, nafasi chache sana na wenye nchi washapeana. Tafuta Kazi nyingine ya kufanya
Na vyeti za post education in finance kumbe ningetupa ketee...siku nyingi sijafanya MITIHANI 😊😅 nimeimiss Sanaa.Tukutane kesho APC BUNJU
Deed pole ni lazima ikasajiliwe pale Ardhi.nenda kwa mwanasheria lip 10k chukua deedpoll a k a kiapo.A cha ubishi
Hahaha kumbe umesoma finance 😂Na vyeti za post education in finance kumbe ningetupa ketee...siku nyingi sijafanya MITIHANI 😊😅 nimeimiss Sanaa.
Mdogo angu,Habari zenu wakuu. Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll
Mf majina ya nida na birth certificate yanasoma Ikupa Samwel Seba lakini vyeti vya taaluma vinasoma Ikupa S Seba . Je hapo nahitaji deedpoll kweli?
Na je Mfano nida na Cheti cha Kuzaliwa ni Ikupa Samwel Seba , vyeti cya kitaaluma vinasoma Ikupa Samwel nahitaji deedpoll pia ??? Au affidavit inatosha kwa scenarios zote mbili
Asante
Point of correction.Deed pole ni lazima ikasajiliwe pale Ardhi.
Mimi napenda kusoma Sana na nimekusanya vyeti vingi Sanaa Sanaa.Hahaha kumbe umesoma finance 😂
Hahaha hongera sana mkuuMimi napenda kusoma Sana na nimekusanya vyeti vingi Sanaa Sanaa.
Nimemiss blass band kwenye kutunukiwa degree Basi natafuta chuo naanza kusoma Nina taaluma zaidi ya moja..
Una mengi ya kujifunza. Njoo niku trainwe we ndo hujui