Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll

Sambare

Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
84
Reaction score
61
Habari zenu wakuu. Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll

Mf majina ya nida na birth certificate yanasoma Ikupa Samwel Seba lakini vyeti vya taaluma vinasoma Ikupa S Seba . Je hapo nahitaji deedpoll kweli?

Na je Mfano nida na Cheti cha Kuzaliwa ni Ikupa Samwel Seba , vyeti cya kitaaluma vinasoma Ikupa Samwel nahitaji deedpoll pia ??? Au affidavit inatosha kwa scenarios zote mbili

Asante
 
We peleka vyote kama ulivyoelekezwa!
 
nenda kwa mwanasheria lip 10k chukua deedpoll a k a kiapo.A cha ubishi
 
Deed poll n kiapo cha majina kama yamekosewa hayafanani ya nida na vyeti vingine. Hzo karatasi n za kijani hv blue kdg znatolewa na wanasheria.
Kaka nenda kapambanie bahati yako uskate tamaa.
Kwani deeppol ni Nini!
 
Deed poll n kiapo cha majina kama yamekosewa hayafanani ya nida na vyeti vingine. Hzo karatasi n za kijani hv blue kdg znatolewa na wanasheria.
Kaka nenda kapambanie bahati yako uskate tamaa.
Hivi majina kukosewa ndio kukoje huko?

Kwa hiyo scenario ya kwanza ya mleta hapo juu, Je majina yamekosewa au ni hilo jina la kati limewekwa kama initial tu?
 
Affidavit inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…