Naomba kuelewesha kuhusu kutafsiri move za action

Naomba kuelewesha kuhusu kutafsiri move za action

under timer

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2021
Posts
389
Reaction score
595
Naamini uzima mnao nyote, kama si hivyo basi pole kwa wewe ambaye hauko sawa kiafya na mungu akujalie upone mapema.

Nina shauku na nina sauti safi kwa kutoa matangazo katika vifaa vya muziki [sauti]
Sasa juzi juzi nikajalibu kutafasri crip moja ya kizungu, hakika niliipatia kiasi japo sio mzoefu saana kwa kimombo na kubwa zaidi vitendea kazi nilitumia simu techo spack 7, sabufer na eaphone tu hatimae kakilipu kakakaa safi.

Je, ni vifaa gan muhimu unapswa kuwa navyo ili kuifanya hii kazi katika ubora
  • Kwa uzofu kiasi katika kiingereza naweza kuwa DJ kama Muphy?
  • Sina vifaa bora na venye uwezo mkubwa je naweza kushirikiana na mtu km dj muphy
Nikawa km mwanafunzi wake
nawasilisha
 
Back
Top Bottom