Naomba kueleweshwa jambo hili kuhusu matumizi ya dawa za Presha

It’s a lifetime commitment mdogo wangu. Unazeeka nazo bega kwa bega.
 
Habari zenu nategemea mpo salama naomba kueleweshwa kitu

Hivi unaweza kutumia dawa za presha na ukakaa sawa?

Namaanisha unaweza kutumia dawa bila kuacha na maisha yakaendelea kama kawaida?
hili suala ni la kimtazamo. Sisi matabibu wa herbalist tuna dozi za presha mtu akaae sawa,abaki anazingatia mtindo wa maisha(vyakula,mazoezi,usingizi na kudhibiti stress). Na watu wa school za medicine wanaamini ku-yamanage magonjwa (kupunguza madhara yasizidi) na siyo kuyatibu. Kila anayejibu atakupa uzoezu wa anakoamini
 
Yeah naona mazonge tu
Badili visababishi vilivyokufa ya upate presha
(1)Hufanyi mazoezi
(2)Unakula milo mingi na yenye sukari kwa wingi(Ugali,wali,viazi,Soda,bia,sukari yennyewe, matunda yenye sukari nk
(3)unatumia mafuta ya mbegu kupikia vyakula ie alzeti nk
(4)unachelewa kula usiku maybe
Nicheki inbox kama upo serious
 
Habari zenu nategemea mpo salama naomba kueleweshwa kitu

Hivi unaweza kutumia dawa za presha na ukakaa sawa?

Namaanisha unaweza kutumia dawa bila kuacha na maisha yakaendelea kama kawaida?
Ili uwe sawa na uishi kawaida ni muhimu kuzingatia yafuatayo.
1. Kunywa dawa bila kukosa. Watu wengi wakisha jiona wamekaa sawa wanaacha kutumia dawa. Baada ya muda stoke inawapitia.
2. Badilisha utaratibu wa maisha (life style). Acha kula hivyo, zingatie lishe kadri utakavyo elekezwa na mtaalamu wa mambo ya lishe.
3. Hudhuria clinic mara kwa mara kwa ajili ya kuangalia afya yako kadri utakavyoshauriwa na daktari
 
Ubarikiwe
 
ndio, unatumia dawa za presha kuiweka pressure yako kwenye nromal level kila siku na maisha yanakua yanakwenda poa kabisa mkuu
 
Ili uwe sawa na uishi kawaida ni muhimu kuzingatia yafuatayo.
1. Kunywa dawa bila kukosa. Watu wengi wakisha jiona wamekaa sawa wanaacha kutumia dawa. Baada ya muda stoke inawapitia.
2. Badilisha utaratibu wa maisha (life style). Acha kula hivyo, zingatie lishe kadri utakavyo elekezwa na mtaalamu wa mambo ya lishe.
3. Hudhuria clinic mara kwa mara kwa ajili ya kuangalia afya yako kadri utakavyoshauriwa na daktari
uzi uishie hapa hapa nadhani. umemaliza kila kitu
 
,abaki anazingatia mtindo wa maisha(vyakula,mazoezi,usingizi na kudhibiti stress).
Hapa ndipo kwenye changamoto na kiini cha mleta mada.

Yaani sawa atatumia dawa, Ila mtindo wa maisha ubakie vile vile.
Namaanisha unaweza kutumia dawa bila kuacha na maisha yakaendelea kama kawaida?
- Jibu ni rahisi: Haiwezekani
Fuata ushauri wa Dr.
 
Back
Top Bottom