Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Yeah naona mazonge tuMhm umebainika una BP?
Hujaelewa kipi?Hueleweki
Sio tatizo kuzeeka nazo ninachouliza zinasaidia japo kdgIt’s a lifetime commitment mdogo wangu. Unazeeka nazo bega kwa bega.
hili suala ni la kimtazamo. Sisi matabibu wa herbalist tuna dozi za presha mtu akaae sawa,abaki anazingatia mtindo wa maisha(vyakula,mazoezi,usingizi na kudhibiti stress). Na watu wa school za medicine wanaamini ku-yamanage magonjwa (kupunguza madhara yasizidi) na siyo kuyatibu. Kila anayejibu atakupa uzoezu wa anakoaminiHabari zenu nategemea mpo salama naomba kueleweshwa kitu
Hivi unaweza kutumia dawa za presha na ukakaa sawa?
Namaanisha unaweza kutumia dawa bila kuacha na maisha yakaendelea kama kawaida?
Badili visababishi vilivyokufa ya upate preshaYeah naona mazonge tu
Ili uwe sawa na uishi kawaida ni muhimu kuzingatia yafuatayo.Habari zenu nategemea mpo salama naomba kueleweshwa kitu
Hivi unaweza kutumia dawa za presha na ukakaa sawa?
Namaanisha unaweza kutumia dawa bila kuacha na maisha yakaendelea kama kawaida?
Zinasaidia sana sio kidogo.Sio tatizo kuzeeka nazo ninachouliza zinasaidia japo kdg
AsanteZinasaidia sana sio kidogo.
UbarikiweIli uwe sawa na uishi kawaida ni muhimu kuzingatia yafuatayo.
1. Kunywa dawa bila kukosa. Watu wengi wakisha jiona wamekaa sawa wanaacha kutumia dawa. Baada ya muda stoke inawapitia.
2. Badilisha utaratibu wa maisha (life style). Acha kula hivyo, zingatie lishe kadri utakavyo elekezwa na mtaalamu wa mambo ya lishe.
3. Hudhuria clinic mara kwa mara kwa ajili ya kuangalia afya yako kadri utakavyoshauriwa na daktari
uzi uishie hapa hapa nadhani. umemaliza kila kituIli uwe sawa na uishi kawaida ni muhimu kuzingatia yafuatayo.
1. Kunywa dawa bila kukosa. Watu wengi wakisha jiona wamekaa sawa wanaacha kutumia dawa. Baada ya muda stoke inawapitia.
2. Badilisha utaratibu wa maisha (life style). Acha kula hivyo, zingatie lishe kadri utakavyo elekezwa na mtaalamu wa mambo ya lishe.
3. Hudhuria clinic mara kwa mara kwa ajili ya kuangalia afya yako kadri utakavyoshauriwa na daktari
Kabisa kabisa nimeelewa sana zaidi ya sanauzi uishie hapa hapa nadhani. umemaliza kila kitu
Hapa ndipo kwenye changamoto na kiini cha mleta mada.,abaki anazingatia mtindo wa maisha(vyakula,mazoezi,usingizi na kudhibiti stress).
- Jibu ni rahisi: HaiwezekaniNamaanisha unaweza kutumia dawa bila kuacha na maisha yakaendelea kama kawaida?
Na mimi, je?uzi uishie hapa hapa nadhani. umemaliza kila kitu
panda kitandani ulaleNa mimi, je?
Hahahahaaa uzi uishie hapahapa umemaliza kila kitu!panda kitandani ulale