Naomba kueleweshwa kanuni ya kufuzu kwa goli la kujifunga

Kwamujibu wa kocha wetu lile goli la kujifunga linaitwa objective gol limetupeleka makundi kwa kishindo.
 
Wenye akili yanga ni wawili tu, wataje

1..........................................................................

2.........................................................................
 
Naona mpira wa papatu papatu umewasaidia sana simba msimu huu!!

Imagine mpaka sasa wameweza kushinda Ngao ya Jamii kwa mikwaju ya penati! Na jana umewasaidia kuingia hatua ya makundi baada ya mchezaji wa Power Dyanamo kujifunga kutokana na zile papatu papatu zao.
 
Kwamba sio goal?
 
Mkishaingia kwenye makundi ya klabu bingwa Mara tatu mfululizo mtakuwa mmejifunza kanuni nyingi na mtaacha kuuliza ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…