Naomba kueleweshwa kanuni ya kufuzu kwa goli la kujifunga

Naomba kueleweshwa kanuni ya kufuzu kwa goli la kujifunga

Attachments

  • B5D01129-BE74-401C-B2E5-3E74D4F5BD42.jpeg
    B5D01129-BE74-401C-B2E5-3E74D4F5BD42.jpeg
    93 KB · Views: 2
Kanuni iko hivi. Mkitoka draw kama ilivyokuwa wanaangalia timu iliyofunga magoli mengi ugenini ndio inafuzu. Watu wamekalia ushabiki bila kujibu swali.
 
Jamani wenye uelewa tujulishane, kama watu wame droo 3-3 hii kanuni ikoje
Usipende kujidhalilisha sio lazima kuwa shabiki stay neutral kama mimi sijui lolote kwenye mpira nabaki kupenda tambo na vibweka vya mashabiki mitandaoni na mtaani . Kiufupi ww kuwa shabiki wa washabiki wa timu za mpira mbali na hapo utawekwa kwenye lile kundi la wasio na akili
 
Jamani wenye uelewa tujulishane, kama watu wame droo 3-3 hii kanuni ikoje
Yanga acheni uoga, kuingia makundi mlijitakia wenyewe. Sasa muwe tayari kupambana na timu yoyote ikiwemo Simba iliyowafunga mara mbili mechi mbili zilizopita
 
Goli la ugenini ni kielelezo tosha kua sisi wa Africa akili zetu ni mgando.
Yani matokeo 3-3 alafu unasema mmoja kapita!

Sio kwenye michezo wala Siasa, waafrica tunapuyanga tu.
 
Back
Top Bottom