Naomba kueleweshwa kuhusu Exim bank

Naomba kueleweshwa kuhusu Exim bank

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Samahani wakuu naomba kupata uelewa kuhusu hii benki (Exim bank), vigezo gani natakiwa kuwa navyo kufungua akaunti, mazuri na mabaya yake kwa upande wa miamala ya fedha lakini pia utunzaji fedha. Ahsante
 
Hizi bank huchelewi kusikia imefilisika. Nenda CRDB au NMB kwan huko ww umeona nn
 
Binafsi napata shida sana ha hizi bank za nje ambazo zinafanya kazi Tanzania na kuwa Tanzania Ltd. Najua Exim ni Bank kubwa duniani. Ila kitendo cha kuwa Tanzania Ltd. Ndio kinanipa shida. Mfano bank ikishindwa kujiendesha usidhani Exim mama itajihangaisha. Kitakachofuata nadhani unakijua, hata kama una 100m bank unapata 1.5m hii imeshatokea kwa Bank kadhaa kam 3 hivi ambazo hazina asili ya hapa.

Ni ni vigumu sana kujua Liquidity na cashflow ya bank wwkama mteja. So ngoma inweza ku corrupt leo ukawa huna chako.

Ndio maana naongelea Bank kama CRDB na NMB hizo zina Liquidity ya kutosha sio rahisi ku run Bankrupt.

Anyway ni mawazo tuu
Mawazo yako yana mapungufu,Exim bank Tanzania LTD wanatoa huduma za kibenki Tanzania kwa takribani miaka 20,mbona hawajafilisika? Watu tumeweka mapesa yetu na tunalala kwa amani bila stress.
 
Shukrani mkuu nimekuelewa vizur
 
Mawazo yako yana mapungufu,Exim bank Tanzania LTD wanatoa huduma za kibenki Tanzania kwa takribani miaka 20,mbona hawajafilisika? Watu tumeweka mapesa yetu na tunalala kwa amani bila stress.
vp makato yao ?
 
Mkuu hakuna aliyekunyima uweke mamilioni yako exim exim haiwezi filisika leo wala kesho ina back up kubwa from Makao makuu kule china,ni rahisi zaidi CRDB kufilisika lakini sio exim na back up yake.
 
Uwe unaelewa hiyo ni Exim Tanzania Ltd. Sijui kama unaelewa. Kama huelw jifunze Juu ya Liability limited in Tanzania. Usiongelee Exim mama ya China. Ww unadhani kwann Tanzania ina mikopo Exim ya china na sio ya Tanzania
Mkuu hakuna aliyekunyima uweke mamilioni yako exim exim haiwezi filisika leo wala kesho ina back up kubwa from Makao makuu kule china,ni rahisi zaidi CRDB kufilisika lakini sio exim na back up yake.
 
Binafsi napata shida sana ha hizi bank za nje ambazo zinafanya kazi Tanzania na kuwa Tanzania Ltd. Najua Exim ni Bank kubwa duniani. Ila kitendo cha kuwa Tanzania Ltd. Ndio kinanipa shida. Mfano bank ikishindwa kujiendesha usidhani Exim mama itajihangaisha. Kitakachofuata nadhani unakijua, hata kama una 100m bank unapata 1.5m hii imeshatokea kwa Bank kadhaa kam 3 hivi ambazo hazina asili ya hapa.

Ni ni vigumu sana kujua Liquidity na cashflow ya bank wwkama mteja. So ngoma inweza ku corrupt leo ukawa huna chako.

Ndio maana naongelea Bank kama CRDB na NMB hizo zina Liquidity ya kutosha sio rahisi ku run Bankrupt.

Anyway ni mawazo tuu
Mwenye Exim ni Mtanzania wa Passport. Unasema ni benki ya nje kivipi? Nchi gani?
 
Mawazo yako yana mapungufu,Exim bank Tanzania LTD wanatoa huduma za kibenki Tanzania kwa takribani miaka 20,mbona hawajafilisika? Watu tumeweka mapesa yetu na tunalala kwa amani bila stress.
Hata kama ingekuwa na miaka 100 inawekwa chini ya uangalizi wa BOT bila shida yoyote, halafu una milion zako 20 unakuja kuambulia milion moja na nusu, ndiyo unazinduka....
 
Amini unachoamini!

QUOTE="Waziri wa Kaskazini, post: 33054278, member: 343706"]
Hata kama ingekuwa na miaka 100 inawekwa chini ya uangalizi wa BOT bila shida yoyote, halafu una milion zako 20 unakuja kuambulia milion moja na nusu, ndiyo unazinduka....
[/QUOTE]
 
Exim Bank = Export Import Bank, haina uhusiano na Exim China. Karibu kila nchi duniani ina Exim Bank, hiyo inamaanisha ni Bank iliyo spealise ktk kuhudumia biashara za Exportation na Importation kama unavyoona Cooperative Banks au Agricultural Banks
Nadhani hata umiliki wa hisa asilimia kubwa ya wamiliki ni Watanzania ukiacha Rabobank ambao wana hisa zisizozidi 5%
 
You are absolutely right mkuu
 
Back
Top Bottom