Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo yako yana mapungufu,Exim bank Tanzania LTD wanatoa huduma za kibenki Tanzania kwa takribani miaka 20,mbona hawajafilisika? Watu tumeweka mapesa yetu na tunalala kwa amani bila stress.Hizi bank huchelewi kusikia imefilisika. Nenda CRDB au NMB kwan huko ww umeona nn
Mawazo yako yana mapungufu,Exim bank Tanzania LTD wanatoa huduma za kibenki Tanzania kwa takribani miaka 20,mbona hawajafilisika? Watu tumeweka mapesa yetu na tunalala kwa amani bila stress.
Binafsi napata shida sana ha hizi bank za nje ambazo zinafanya kazi Tanzania na kuwa Tanzania Ltd. Najua Exim ni Bank kubwa duniani. Ila kitendo cha kuwa Tanzania Ltd. Ndio kinanipa shida. Mfano bank ikishindwa kujiendesha usidhani Exim mama itajihangaisha. Kitakachofuata nadhani unakijua, hata kama una 100m bank unapata 1.5m hii imeshatokea kwa Bank kadhaa kam 3 hivi ambazo hazina asili ya hapa.
Ni ni vigumu sana kujua Liquidity na cashflow ya bank wwkama mteja. So ngoma inweza ku corrupt leo ukawa huna chako.
Ndio maana naongelea Bank kama CRDB na NMB hizo zina Liquidity ya kutosha sio rahisi ku run Bankrupt.
Anyway ni mawazo tuu

Mkuu hakuna aliyekunyima uweke mamilioni yako exim exim haiwezi filisika leo wala kesho ina back up kubwa from Makao makuu kule china,ni rahisi zaidi CRDB kufilisika lakini sio exim na back up yake.
Mwenye Exim ni Mtanzania wa Passport. Unasema ni benki ya nje kivipi? Nchi gani?Binafsi napata shida sana ha hizi bank za nje ambazo zinafanya kazi Tanzania na kuwa Tanzania Ltd. Najua Exim ni Bank kubwa duniani. Ila kitendo cha kuwa Tanzania Ltd. Ndio kinanipa shida. Mfano bank ikishindwa kujiendesha usidhani Exim mama itajihangaisha. Kitakachofuata nadhani unakijua, hata kama una 100m bank unapata 1.5m hii imeshatokea kwa Bank kadhaa kam 3 hivi ambazo hazina asili ya hapa.
Ni ni vigumu sana kujua Liquidity na cashflow ya bank wwkama mteja. So ngoma inweza ku corrupt leo ukawa huna chako.
Ndio maana naongelea Bank kama CRDB na NMB hizo zina Liquidity ya kutosha sio rahisi ku run Bankrupt.
Anyway ni mawazo tuu
Hata kama ingekuwa na miaka 100 inawekwa chini ya uangalizi wa BOT bila shida yoyote, halafu una milion zako 20 unakuja kuambulia milion moja na nusu, ndiyo unazinduka....Mawazo yako yana mapungufu,Exim bank Tanzania LTD wanatoa huduma za kibenki Tanzania kwa takribani miaka 20,mbona hawajafilisika? Watu tumeweka mapesa yetu na tunalala kwa amani bila stress.
You are absolutely right mkuuExim Bank = Export Import Bank, haina uhusiano na Exim China. Karibu kila nchi duniani ina Exim Bank, hiyo inamaanisha ni Bank iliyo spealise ktk kuhudumia biashara za Exportation na Importation kama unavyoona Cooperative Banks au Agricultural Banks
Nadhani hata umiliki wa hisa asilimia kubwa ya wamiliki ni Watanzania ukiacha Rabobank ambao wana hisa zisizozidi 5%