Naomba kueleweshwa kuhusu mfuko wa Hatifungani (Bond) wa UTT AMIS

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,710
Reaction score
1,965
Eid Mubarak.

Naomba kueleweshwa mfuko wa bond wa UTT AMIS.
Mfano muwekezaji akiwekeza million 100, gawio lipoje?
Na je kuna uwezekano wa mtaji huo wa million kukuwa?
Na je hizo bond huiva baada ya muda gani?
 
Cheki nao kwa 0800 112020 au 02221225014, siku za kazi kunzia saa 3.00 asubuhi hadi 9.30 mchana kuna mambo mazuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…