RealEstate Agent
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 244
- 321
Habari
Kutokana na risiti hii ya EFD
Swali langu ni kutaka kujua bidhaa za simu hazina VAT?
Bei ya simu ni 48,000 na imeandikwa na TOTAL EXCLUSIVE OF VAT = TOTAL INCLUSIVE OF VAT
Ina maana hapo TOTAL TAX = 0
msaada kujua bidhaa hizi hazina vat?
View attachment 1874844
okay ahsante kwa kunifungua macho..nisifa zipi zinamfanya mfanyabiashara asiwe na VRN yaani halipi vat?Hakuna makato ya VAT kwa sababu uyo taxpayer hajasajiliwa na VAT ndomana. Angalia hapo kwenyew risiti kuna VRN- utaona inasomeka “Not registered”
Hilo duka halina vat.mauzo yao kwa mwaka hayajafika milioni mia.hajasajiliwa vat.mashine yake haijasetiwa na vat.chukua simu hukoHabari
Kutokana na risiti hii ya EFD
Swali langu ni kutaka kujua bidhaa za simu hazina VAT?
Bei ya simu ni 48,000 na imeandikwa na TOTAL EXCLUSIVE OF VAT = TOTAL INCLUSIVE OF VAT
Ina maana hapo TOTAL TAX = 0
msaada kujua bidhaa hizi hazina vat?
View attachment 1874844
lengo sio kukomaa risiti.. lengo nataka kueleweshwa masuala ya VAT kibiasharaHilo duka halina vat.mauzo yao kwa mwaka hayajafika milioni mia.hajasajiliwa vat.mashine yake haijasetiwa na vat.chukua simu huko
Wewe nawe kisimu tu cha 48 unakomaa na risitiii.
lengo sio kukomaa risiti.. lengo nataka kueleweshwa masuala ya VAT kibiashara
Kama wewe unajua vizuri..ila wengine hatufahamu masuala ya VAT
sentensi yako ya mwisho sio nzuri... utafanya watu wasiwe wanauliza masuala muhimu kama haya
okay ahsante kwa kunifungua macho..nisifa zipi zinamfanya mfanyabiashara asiwe na VRN yaani halipi vat?
shkrani kwa elimuUkisoma sheria ya VAT S.28 imeelezea vigezo vya kusajiliwa na VAT
Uwe na mauzo ya 100mil kwa mwaka 1 au 50mil kwa miezi 6
S.29 inanataka mtu anayefanya professional services kama hawa Advocates, law firms, tax firms nk kusajiliwa na VAT hata kama hajafika vigezo vya s28 hapo juu.
Kuna baadhi ya bidhaa zilizosamehewa na VAT (exempted goods) mfano pembejeo, madawa, sola, vifaa vya kilimo, mafuta kama petrol, disel nk.
NB: anaelipa VAT ni mnunuzi wa mwisho (final consumer). Ndomana serikali inatoa elim ya kudai risiti kwasababu kama ukinunua bidhaaa mfano TV hawa wauzaj almost wote wapo na VAT Usipodai risiti ile VAT uliyolipia anakula muuzaji na sio serikali.
Hilo duka halina vat.mauzo yao kwa mwaka hayajafika milioni mia.hajasajiliwa vat.mashine yake haijasetiwa na vat.chukua simu huko
Wewe nawe kisimu tu cha 48 unakomaa na risitiii.
Umejibu kistaarabu sana.lengo sio kukomaa risiti.. lengo nataka kueleweshwa masuala ya VAT kibiashara
Kama wewe unajua vizuri..ila wengine hatufahamu masuala ya VAT
sentensi yako ya mwisho sio nzuri... utafanya watu wasiwe wanauliza masuala muhimu kama haya