Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Yule wa twita ndo wewe au ni watu tofauti mkuu?Naomba mtu anieleweshe kuhusu hili, tena kwa ukali na ikiwezekana kunifokea kama mtoto mdog naweza mwelewa labda
Tofauti kati ya Google na chrome ni nini??
Tofauti ya jua na mwezi ni niniNaomba mtu anieleweshe kuhusu hili, tena kwa ukali na ikiwezekana kunifokea kama mtoto mdog naweza mwelewa labda
Tofauti kati ya Google na chrome ni nini??
Huu mfano wako ni irrelavant.Tofauti ya jua na mwezi ni nini
Kivinjari ni nini?Ni sawa na kuuliza utofauti wa google na Gmail...Gmail ni huduma ya email inayotolewa na googl ,zipo kampuni NYINGINE kama Yahoo, Nokia, Microsoft zote hizo zina huduma ya email.
Hivyo basi , chrome ni kivinjari cha google kama vilivyo vivinjari vingine ,kama opemini ,Mozilla fox ,
Hapo ni kiswahili , Kingereza ni browser.Kivinjari ni nini?
Google ni injini ya kutafutia taarifa mtandaoni, wakati Chrome ni application ya mtandao inayotumika kufikia huduma za Google. Mmoja ni huduma, mwingine ni programu.Naomba mtu anieleweshe kuhusu hili, tena kwa ukali na ikiwezekana kunifokea kama mtoto mdog naweza mwelewa labda
Tofauti kati ya Google na chrome ni nini??
Kazi ya browser nini ?Hapo ni kiswahili , Kingereza ni browser.
Google ni pana sana ,google ni kampuni ,inayo search engine inaitwa google Nyingine kama Yahoo na bing ni seqrch engine.Kazi ya browser nini ?
Naelewa google ni search engine na chrome ni browser...Ila haya maelezo yanamaanisha nini utafauti wake nini?
Kipi google inafanya chrome haifanyi!
I'm totally confused... let's call it a day.Google ni pana sana ,google ni kampuni ,inayo search engine inaitwa google Nyingine kama Yahoo na bing ni seqrch engine.
Browser au kivinjani ni kiunganishi kikuu ...Sasa unasemaje google na chrome ni tofauti ,chrome ni sehemu ya google ...Kipi ambacho kinafanya googl chrome haifanyi ...Mbona swali kama halipoš¤£š¤£.
Ndani ya chrome unaweza kutumia search engine nyingi kama yahoo na bing, nje ya google search engine yao.
BrowserKivinjari ni nini?
wewe hujaelewa chrome na google ni vitu viwili tofauti ila katika utendaji kazi ingawa vyote vinamilikiwa na google companyGoogle ni pana sana ,google ni kampuni ,inayo search engine inaitwa google Nyingine kama Yahoo na bing ni seqrch engine.
Browser au kivinjani ni kiunganishi kikuu ...Sasa unasemaje google na chrome ni tofauti ,chrome ni sehemu ya google ...Kipi ambacho kinafanya googl chrome haifanyi ...Mbona swali kama halipoš¤£š¤£.
Ndani ya chrome unaweza kutumia search engine nyingi kama yahoo na bing, nje ya google search engine yao.
Yule kule kasema afundishwe kwa kufokewa pia kama mtoto,mpaka aelewe.Yule wa twita ndo wewe au ni watu tofauti mkuu?
Hii ni tafsiri kaka nilitaka maana ya browser ni nini.... wengine tumetoka vijijijini shule hatuna.....sielewi.Browser
Labda ujue google ni kampuni ,pia ujue search engine ni ipi ,browser ni ipi...Google anatumia bidhaa na huduma zake ndani kwa ndani ile Gemini ni yake pia ,inaitwa ''google gemini'' achana nq ChatGpt ..I'm totally confused... let's call it a day.