NdiyeYule wa twita ndo wewe au ni watu tofauti mkuu?
NdiyeYule wa twita ndo wewe au ni watu tofauti mkuu?
Wanachofanya ni kutudanganya kwa maneno ya kiswahili Vs kizungu,.....hamna anayetujulisha tofauti halisi ya hizo dhana mbili kwa maneno marahisi na kwa mifano ili tuelewe vizuri....wanachofanya ni kuendelea kutuchanganya zaidi na zaidiKivinjari ni nini?
Mbona watu wamekujibu mkuu, au unagomea majibu?Wanachofanya ni kutudanganya kwa maneno ya kiswahili Vs kizungu,.....hamna anayetujulisha tofauti halisi ya hizo dhana mbili kwa maneno marahisi na kwa mifano ili tuelewe vizuri....wanachofanya ni kuendelea kutuchanganya zaidi na zaidi
Mimi bado sijaelewa hata kidogo,Mbona watu wamekujibu mkuu, au unagomea majibu?
Mimi bado sijaelewa hata kidogo,
🤣🤣 futa usemi kwanzaWanachofanya ni kutudanganya kwa maneno ya kiswahili Vs kizungu,.....hamna anayetujulisha tofauti halisi ya hizo dhana mbili kwa maneno marahisi na kwa mifano ili tuelewe vizuri....wanachofanya ni kuendelea kutuchanganya zaidi na zaidi
Mkuu kitu kama bado sijaelewa siwezi kufosi kuwa nimeelewa, mfano mtu unamuuliza browser ni nini??, anakuambia ni sijui kivinjari....sasa hapo anakuelewesha au kutafsiria tu???.......hapo hamna kitu ni mwanzo wa kutuchanganya zaidi🤣🤣 futa usemi kwanza
Lax moja ya mfano ni huu sasa.....wavuti ni nini??, Msituchanganye bhn kulaaalekii!!Google ni kampuni inayotoa huduma nyingi, ikiwa ni pamoja na utafutaji, barua pepe, ramani na zaidi. Google Chrome, kwa upande mwingine, ni kivinjari cha wavuti, programu tumizi ambayo inaruhusu watumiaji kufikia na kuvinjari mtandao
Google is a company that offers a wide array of services, including search, email, maps, and more. Google Chrome, on the other hand, is a web browser, a software application that allows users to access and navigate the internet.
Inategemea na hali mfano mtu akiuliza house ni nini. Ukimjibu house ni nyumba , bila shaka anakua amekupata. Mimi browser najua ni nini ila misamiati yake ya kiswahili itanipiga chenga, so hao jamaa waliotoa misamiati ya kiswahili wapo sahihi tuMkuu kitu kama bado sijaelewa siwezi kufosi kuwa nimeelewa, mfano mtu unamuuliza browser ni nini??, anakuambia ni sijui kivinjari....sasa hapo anakuelewesha au kutafsiria tu???.......hapo hamna kitu ni mwanzo wa kutuchanganya zaidi
mimi binafsi swali kama hili ulilouliza nililiona twita mida ya mchana nadhani ,Lax moja ya mfano ni huu sasa.....wavuti ni nini??, Msituchanganye bhn kulaaalekii!!
Brother nimeleta thread hapo ili kujulishwa juu ya chrome Vs Google.....nikitegemea kujulishwa/kupewa elimu kwa maneno ya kawaida ili nipate majibu ya bila shaka wa hiki nachouliza.....ukinijibu kwa lugha ya ndaaani huoni kama utani acha njia panda,,, itabidi niaze kutafuta maana ya msamiati asee??, nimekuja kujifunza kiswahili hapa.Inategemea na hali mfano mtu akiuliza house ni nini. Ukimjibu house ni nyumba , bila shaka anakua amekupata. Mimi browser najua ni nini ila misamiati yake ya kiswahili itanipiga chenga, so hao jamaa waliotoa misamiati ya kiswahili wapo sahihi tu
Ngoja nijaribu kukujibu kilayman;Naomba mtu anieleweshe kuhusu hili, tena kwa ukali na ikiwezekana kunifokea kama mtoto mdog naweza mwelewa labda
Tofauti kati ya Google na chrome ni nini??
Kwanini hizo zingine hazitumiki sanaUkiwa kwenye application ya google, huwezi kusearch na kupata matokeo tofauti nayatolewayo na Google.
Ukitumia Chrome unaweza ku-search nje ya Google.
Google ipo ndani ya Chrome kama search Engine na unaweza usitumie Google ndani ya Chrome.
View attachment 3311193
Ni kwa sababu inawapa matokeo mazuri kuliko hizo zingineKwanini hizo zingine hazitumiki sana
Wewe ni msumbufu😅Kazi ya browser nini ?
Naelewa google ni search engine na chrome ni browser...Ila haya maelezo yanamaanisha nini utafauti wake nini?
Kipi google inafanya chrome haifanyi!