Naomba kueleweshwa kuhusu tofauti kati ya Google na chrome ni ipi?

I'm totally confused... let's call it a day.
Google ni browser
Chrome ni browser ya hio hio kampuni ya Google ila zinatofautiana kimuonekano tu sema ni kitu kile kile
 
Hii ni tafsiri kaka nilitaka maana ya browser ni nini.... wengine tumetoka vijijijini shule hatuna.....sielewi.

Mtoa mada ukipata jibu nitag.
Nimeshajibu #21 hapo
 
wewe hujaelewa chrome na google ni vitu viwili tofauti ila katika utendaji kazi ingawa vyote vinamilikiwa na google company
Acha uwongo na udanganyifu utachekwa , Google ni kampuni na chrome ni kivinjari chake ,Gmail ni huduma yake ya email...Unatakiwa ujue brower ,search engine then uje nikufundishe ...Zote nimesoma .
 
Zote ni search engine ,zinafanya kazi sawa.

Google,chrome ,mozilla na phoenix zote hali moja kama ilivyo ccm ,chauma Act wazalendo na cuf
 
Labda ujue google ni kampuni ,pia ujue search engine ni ipi ,browser ni ipi...Google anatumia bidhaa na huduma zake ndani kwa ndani ile Gemini ni yake pia ,inaitwa ''google gemini'' achana nq ChatGpt ..

Sio lazima utumie chrime zipo za Microsoft kama Microsoft edge pia ni kivinjari ..Hizi ni huduma zilikuwepo operamini na Mozillafox zinakapotea na
Tunauliza tofauti ya google na chrome ni nini kwenye matumizi sio kikampuni.

Mfano kwasasa sina chrome ila nina google ila napata taarifa zote kama nilivyokuwa natumia chrome.

Lingine nimegundua nikiwa natumia chrome au operamini nikishafungua website naona pameandikwa google.

Swali tofauti ya google na chrome nini? Sijui kweli najaribu kuelewa sielewi.
 
Sema google search engine labda ila Google ni kampuni ...Kuwa specific usichaganye terms ..Ungsema google kama search engine ila google ni kampuni ...
 
Kazi ya browser nini ?

Naelewa google ni search engine na chrome ni browser...Ila haya maelezo yanamaanisha nini utafauti wake nini?

Kipi google inafanya chrome haifanyi!
Ukiwa kwenye application ya google, huwezi kusearch na kupata matokeo tofauti nayatolewayo na Google.

Ukitumia Chrome unaweza ku-search nje ya Google.

Google ipo ndani ya Chrome kama search Engine na unaweza usitumie Google ndani ya Chrome.

1000157757.png
 
Tunauliza tofauti ya google na chrome ni nini kwenye matumizi sio kikampuni.

Mfano kwasasa sina chrome ila nina google ila napata taarifa zote kama nilivyokuwa natumia chrome.

Lingine nimegundua nikiwa natumia chrome au operamini nikishafungua website naona pameandikwa google.

Swali tofauti ya google na chrome nini? Sijui kweli najaribu kuelewa sielewi.
 
Hapana google ndo search engine mbadala duck go,yahoo,bing etc wakati chrome ni website app mbadala safari, ms edge,operamin, mozila firefox etc
Nishamaliza mjadala
 
Acha uwongo na udanganyifu utachekwa , Google ni kampuni na chrome ni kivinjari chake ,Gmail ni huduma yake ya email...Unatakiwa ujue brower ,search engine then uje nikufundishe ...Zote nimesoma .
hiyo shule inayofundisha kuhusu google na chrome na mimi nataka nikajifunzepo oyaaa alie lielewa hili puto aje anieleweshe. Hakuna alie kataa kuwa google ni campany kinacho zungumziwa hapa ni search engine ya google na chrome hapo huelewi nini?.
google inamilikiwa na Alphabet Inc hiyo ndio kampuni mama umeelewa.
Unaweza kutumia Google Search hata kwenye browser nyingine kama Firefox, Safari au Edge. Na pia kwenye Chrome unaweza kutumia search engine yoyote kama Bing, DuckDuckGo nk.
 
hiyo shule inayofundisha kuhusu google na chrome na mimi nataka nikajifunzepo oyaaa alie lielewa hili puto aje anieleweshe. Hakuna alie kataa kuwa google ni campany kinacho zungumziwa hapa ni search engine ya google na chrome hapo huelewi nini?.
google inamilikiwa na Alphabet Inc hiyo ndio kampuni mama umeelewa.
Unaweza kutumia Google Search hata kwenye browser nyingine kama Firefox, Safari au Edge. Na pia kwenye Chrome unaweza kutumia search engine yoyote kama Bing, DuckDuckGo nk.
 
Tunauliza tofauti ya google na chrome ni nini kwenye matumizi sio kikampuni.

Mfano kwasasa sina chrome ila nina google ila napata taarifa zote kama nilivyokuwa natumia chrome.

Lingine nimegundua nikiwa natumia chrome au operamini nikishafungua website naona pameandikwa google.

Swali tofauti ya google na chrome nini? Sijui kweli najaribu kuelewa sielewi.
Wapi umeandika ni search engine ? Labda ukaedit ... Mimi sijakurupuka nimekupa jibu kama lilivyo ...Kwanza unaweza vip kulingana search engine na brower...Soma swali kwanza usiokote mitandaoni.
 
hiyo shule inayofundisha kuhusu google na chrome na mimi nataka nikajifunzepo oyaaa alie lielewa hili puto aje anieleweshe. Hakuna alie kataa kuwa google ni campany kinacho zungumziwa hapa ni search engine ya google na chrome hapo huelewi nini?.
google inamilikiwa na Alphabet Inc hiyo ndio kampuni mama umeelewa.
Unaweza kutumia Google Search hata kwenye browser nyingine kama Firefox, Safari au Edge. Na pia kwenye Chrome unaweza kutumia search engine yoyote kama Bing, DuckDuckGo nk.
Wapi kwenye swali kaandika search engine? Google ni project nzima inayohusu huduma za internet ..Nioneshe tuendelee aliposema google search engine.
 
Zote ni search engine ,zinafanya kazi sawa.

Google,chrome ,mozilla na phoenix zote hali moja kama ilivyo ccm ,chauma Act wazalendo na cuf
Siyo kweli Chrome, Mozilla siyo Search engine na wala Google siyo Browser.

Ukiwa na Chrome ndiyo unaweza kutumia Google. Kinachofanywa na Application ya Chrome hakiwezi kufanywa na Application ya Google.
 
nilichokiongea sina haja ya kukifanyia marejeo kwenye link yako mkuu mimi ni user nguli wa google na chrome pia na browser na search engine zingine nafikili unaona hapa
jf.PNG
 
Nadhani anazungumzia zile App mbili chrome na ile inaitwa google.
Google App ni kwa ajili ya ku search kwa haraka kutumia voice au ku type, chrome ni browser kamili inaweza ku save password, kuweka extension, download manager yenye kasi n.k Google sio browser kamilifu kama Chrome...
 
Back
Top Bottom