Kama uko na interest ya kilimo cha uhakika (cha kumwagilia) nakodisha mashamba. Location: kijiji cha Malolo Kilosa.
Eka moja kwa laki na nusu. Maji ya uhakika haukauki mwaka mzima. Ardhi inafaa sn kwa mazao ya nyanya, hoho, tikiti, mahindi, pilipili, bamia, matango, mihogo n.k
0688 476 770