Naomba kuelimishwa jinsi ya kuandaa mazao tofauti pamoja na mbogamboga. Vitu gani vinauzika zaidi?

Naomba kuelimishwa jinsi ya kuandaa mazao tofauti pamoja na mbogamboga. Vitu gani vinauzika zaidi?

Mkuu, mrejesho wa experience, mbogamboga gani umelima na zinachukua muda gani kukua, soko,uhudumiaje etc?
Binafsi nilikuwa nachukua madini hapa kwenye uzi wako kwa ajili ya bustani ya nyumbani huwa nauza ika kwa kiasi kidogo, nikaanzisha bamia, nyanya chungu, biringanya, matango, recently nimeweka pilipili, tikiti maji, bwawa la
Samaki na ma pension….

Hoho nimeshindwa.
Je kuna mbogamboga gani ambayo naweza ongeza pia?
 
Kama uko na interest ya kilimo cha uhakika (cha kumwagilia) nakodisha mashamba. Location: kijiji cha Malolo Kilosa.
Eka moja kwa laki na nusu. Maji ya uhakika haukauki mwaka mzima. Ardhi inafaa sn kwa mazao ya nyanya, hoho, tikiti, mahindi, pilipili, bamia, matango, mihogo n.k
0688 476 770
 
Watu wachagamkie fursa
 
Back
Top Bottom