Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Lima pili pili hoho, bamia, nyanya chungu, pilipili mbuzi au kichaa, uwe pia na machine ya kumwagilia, then jifunze kwa wengine, waliofanikiwa
Ongeza Biringanya na matango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lima pili pili hoho, bamia, nyanya chungu, pilipili mbuzi au kichaa, uwe pia na machine ya kumwagilia, then jifunze kwa wengine, waliofanikiwa
Watu wachagamkie fursaKama uko na interest ya kilimo cha uhakika (cha kumwagilia) nakodisha mashamba. Location: kijiji cha Malolo Kilosa.
Eka moja kwa laki na nusu. Maji ya uhakika haukauki mwaka mzima. Ardhi inafaa sn kwa mazao ya nyanya, hoho, tikiti, mahindi, pilipili, bamia, matango, mihogo n.k
0688 476 770