Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sio gugu mkuu ni GoogleIssue zingine siyo za kuuliza humu mzee. Nenda kwenye gugu kagugu.
Aende gugu akafanyeje vile ..........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naipenda jamii forumIssue zingine siyo za kuuliza humu mzee. Nenda kwenye gugu kagugu.
Sio gugu mkuu ni Google
Lugha mkuu.Issue zingine siyo za kuuliza humu mzee. Nenda kwenye gugu kagugu.
sometimes people need reality from someone who have real experience. Google huelezea baadhi ya vitu kwa nadharia ama waandishi wengine pia wanaweza andika lots of propaganda kuhusu sehemu fulani, ila mwenye experience ya kuishi mahali hapi anaweza kua na picture halisi ambayo mtu anahitaji, maybe ndio sababu mtoa mada ameandika.Issue zingine siyo za kuuliza humu mzee. Nenda kwenye gugu kagugu.
Ok nlkuwa cjuiKiswahili ya Google ni gugu!
AiseeKifupi mkuu Qatar mara kwa mara inakuwa nchi tajiri zaidi duniani kwa pato la mtu mmoja mmoja. Wana mafuta mengi na Gas nyingi sana.
Pamoja na utajiri wao huo wana eneo dogo sana nchi yao ni kilomita za mraba kama 11,000 tu, kujua ni ndogo kiasi gani Tanzania Nzima ina kilomita za mraba zaidi ya 900,000
Hii ramani ya dunia ikionesha QatarView attachment 2172395
Vitu maarufu vya Qatar kabla ya world cup ni Kituo cha Tv Aljazeera, Club ya PSG pengine na Qatar Airways.
Hili ndo jiji lao la Doha.
View attachment 2172401
Jambo muhimu la kufahamu kwa Mtanzania kuhusu hii world cup ni kwamba hawa jamaa wapo wachache sana, kiasi kwamba hata wachezaji wa world cup hakuna, hivyo muda mrefu sana walikuwa wakitafuta mamluki. Kuna waTanzania wengi wameenda, Tetesi watoto wa Kibadeni wapo huko na Hata mshambuliaji wao mmoja Akram Afif ni Mtu wa Qatar mwenye asili ya Tanzania. Pia wachezaji wao wengi wametoka Africa sehemu kama Senegal, Sudan etc.
Hichi kikosi chao
View attachment 2172403
Pia kutokana na udogo wa eneo viwanja vya mpira na miundombinu mengine wamejenga tu kwa muda world cup ikiisha wanabomoa na watavitoa misaada kwa Nchi nyengine.
Why?... kama kuna kitu jamii ya wastaarabu ilikosea ni kupeleka world cup Moscow 2018. That was a deadly mistake.
Shukrani sanaKifupi mkuu Qatar mara kwa mara inakuwa nchi tajiri zaidi duniani kwa pato la mtu mmoja mmoja. Wana mafuta mengi na Gas nyingi sana.
Pamoja na utajiri wao huo wana eneo dogo sana nchi yao ni kilomita za mraba kama 11,000 tu, kujua ni ndogo kiasi gani Tanzania Nzima ina kilomita za mraba zaidi ya 900,000
Hii ramani ya dunia ikionesha QatarView attachment 2172395
Vitu maarufu vya Qatar kabla ya world cup ni Kituo cha Tv Aljazeera, Club ya PSG pengine na Qatar Airways.
Hili ndo jiji lao la Doha.
View attachment 2172401
Jambo muhimu la kufahamu kwa Mtanzania kuhusu hii world cup ni kwamba hawa jamaa wapo wachache sana, kiasi kwamba hata wachezaji wa world cup hakuna, hivyo muda mrefu sana walikuwa wakitafuta mamluki. Kuna waTanzania wengi wameenda, Tetesi watoto wa Kibadeni wapo huko na Hata mshambuliaji wao mmoja Akram Afif ni Mtu wa Qatar mwenye asili ya Tanzania. Pia wachezaji wao wengi wametoka Africa sehemu kama Senegal, Sudan etc.
Hichi kikosi chao
View attachment 2172403
Pia kutokana na udogo wa eneo viwanja vya mpira na miundombinu mengine wamejenga tu kwa muda world cup ikiisha wanabomoa na watavitoa misaada kwa Nchi nyengine.
Hauna internet huko ulipo?kwa sasa, na kwa mwaka huu wote nchi ya Qatar imetrend na itatrend sana sababu ya fainali za kombe la dunia kufanyika huko. naomba kuelimishwa kuhusu hii nchi.
Historia yake, utamaduni, watu wake, jiografia yake, uchumi wake nk nk. natanguliza shukrani.
Ulitaka ije kwenu? [emoji23]... kama kuna kitu jamii ya wastaarabu ilikosea ni kupeleka world cup Moscow 2018. That was a deadly mistake.
Hamna namna ya kujichomeka huko ukawa raiaPia ni nchi pekee duniani (i stand to be corrected) ambayo raia ni wachache kuliko wageni