Naomba kuelimishwa juu ya nchi ya Qatar.

Naomba kuelimishwa juu ya nchi ya Qatar.

Ni kinchi kidogo kina watu million tatu mafuta ndio vinawapaisha kiuchumi
 
hawa jamaa walifanyiwa fitina sana na akina Saudia lakini bado wakatusua ila kuna wageni wengi wamekufa wakati wakiwa kwenye ujenzi wa miviwanja ya mpira & mahotel
Hivyo vifo vimeshakuwa disproved siku nyingi ila watu bado wanatumia.

Wageni 6500 wamekufa ndani ya Miaka 10, na vifo hivi ni vyote vimejumuisha ajali za barabarani, vifo vya kawaida vya hospital, natural death, vifo vya kazini etc.

Ila Kuna media za ulaya kimakusudi zinatumia hio idadi kama vifo vya ujenzi kitu ambacho si kweli.

Matatizo ya immigrants Qatar mengi ni unapoweka standard za ulaya.
-mfano wanashutumiwa kulipa mishahara midogo around $600
-waajiri wanakaa na passport za waajiriwa
-mazingira magumu ya kufanya kazi, ikiwemo malazi ya kuchangia etc.
 
Back
Top Bottom