Naomba kuelimishwa kuhusu kutolewa kizazi

Naomba kuelimishwa kuhusu kutolewa kizazi

RWANTANG

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2021
Posts
1,143
Reaction score
1,425
Habari wana jukwaa.Mwenza wangu ametakiwa kuondolewa kizazi kwakua kina uvimbe. Sasa swali langu je akitolewa kizazi dushe si itakuwa kama inaingia kwenye ndoo?

Au haina athari hiyo?

Tafadhali naomba kuelimishwa naamini jf kuna wanao fahamu hukusu hili.
 
1: Kuondolewa kizazi kwa sababu ya uvimbe, maana yake uvimbe umeonekana kuleta madhira. Na kwa kiasi chake ingawa haujakionyesha au kwa vigezo vingine pia, daktari ameona ni vyema kuondoa vyote.

2: Suala la kukutana kinyumba. Mji wa uzazi hauusiki kabisa. Kwani hili hufanyika ndani ya njia (pipe) inayoelekea kwenye mji wa mimba/vagina. Ni mara chache ambapo baba huweza kugusa tu mlango wa mji wa mimba na si kuingia ndani. Hivyo, haitakuwa na mabadiliko yoyote.
 
Back
Top Bottom