Ili kupata leseni, wanaangalia nini au mtaji unatakiwa kuwa kiasi gani?Kikubwa unasajiri brela biashara au kampuni, then unakwenda tra kupata tin number na kulipa kodi then utapewa tax clearance ambayo ni moja ya viambatanishi vya kupata leseni. Leseni za microfinance zinatolewa na BOT peke yake..
Kama Ni sole proprietor na mtaji unatoa mfukoni mwako, na huchukui Amana za wateja mtaji kianzio unaotakiwa na BoT Ni 20M.Ili kupata leseni, wanaangalia nini au mtaji unatakiwa kuwa kiasi gani?
Kuna gharama yoyote ya kulipa BoT?Kama Ni sole proprietor na mtaji unatoa mfukoni mwako, na huchukui Amana za wateja mtaji kianzio unaotakiwa na BoT Ni 20M.
1. Docs za usajiri brelaIli kupata leseni, wanaangalia nini au mtaji unatakiwa kuwa kiasi gani?
Yes bot ni non refundable fee ya leseni ni laki 6Kuna gharama yoyote ya kulipa BoT?
Ni biashara nzuri kama kwa warejeshaji watakuwa hawasumbui1. Docs za usajiri brela
2. Tin & tax clearance
3. Lending policy
4. Proof of the capital
5. Owners/ directors CVs
Vingine nakuangalizia i will share here.
Hii biashara unatakiwa uwe mjanja sana kwa sababu kila kukicha watu wanafikiria mbinu mpya ya kutapeli wakopeshaji...ila inalipa sana ukiwa makiniNi biashara nzuri kama kwa warejeshaji watakuwa hawasumbui
Kama una mtaji, inawezekana kufanyika na walengwa kama watakuwa ni hili kundi linalohitaji mikopo midogo midogo, mfano mama ntilie n.k inaweza kulipa kwa harakaYes bot ni non refundable fee ya leseni ni laki 6
Yes, ipo.Kuna gharama yoyote ya kulipa BoT?
Asante sana kiongozi. Hii lendung policy inapatikana vipi je kuna watu au taasisi zinazoandaa hii. Asante1. Docs za usajiri brela
2. Tin & tax clearance
3. Lending policy
4. Proof of the capital
5. Owners/ directors CVs
Vingine nakuangalizia i will share here.
Yeah watu wapo nichek PMAsante sana kiongozi. Hii lendung policy inapatikana vipi je kuna watu au taasisi zinazoandaa hii. Asante
Habari wanajasirimali wote. Nafikiri kufungua taasisi ya kukopesha fedha kwa kutoa mikopo ya wafanyabiashara na watumishi hasa taasisi za serikali na binafsi. Naomba kupatiwa uelewa wa namna ya kusajili na mahitaji yanayotakiwa kama vile nyaraka zinazotakiwa,mtaji na vitu vingine muhimu. NB kwa mikopo ya watumishi nahitaji niwenapata makato toka hazina.
Vile vile nahitaji kufahamu mtu au taasisi inayotoa huduma ya kufanikisha usajili huu kwa gharama nafuu.
Kwa sasa nimesajili jina la biashara ambalo nafanyia biashara ya chakula.
Asanteni.