ommy15
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 674
- 1,017
Habari wanajasirimali wote. Nafikiri kufungua taasisi ya kukopesha fedha kwa kutoa mikopo ya wafanyabiashara na watumishi hasa taasisi za serikali na binafsi.
Naomba kupatiwa uelewa wa namna ya kusajili na mahitaji yanayotakiwa kama vile nyaraka zinazotakiwa,mtaji na vitu vingine muhimu. NB kwa mikopo ya watumishi nahitaji niwenapata makato toka hazina.
Vile vile nahitaji kufahamu mtu au taasisi inayotoa huduma ya kufanikisha usajili huu kwa gharama nafuu.
Kwa sasa nimesajili jina la biashara ambalo nafanyia biashara ya chakula.
Asanteni.