Naomba kuelimishwa kuhusu usajili wa Microfinance/Microcredit

Naomba kuelimishwa kuhusu usajili wa Microfinance/Microcredit

ommy15

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
674
Reaction score
1,017
Habari wanajasirimali wote. Nafikiri kufungua taasisi ya kukopesha fedha kwa kutoa mikopo ya wafanyabiashara na watumishi hasa taasisi za serikali na binafsi.

Naomba kupatiwa uelewa wa namna ya kusajili na mahitaji yanayotakiwa kama vile nyaraka zinazotakiwa,mtaji na vitu vingine muhimu. NB kwa mikopo ya watumishi nahitaji niwenapata makato toka hazina.

Vile vile nahitaji kufahamu mtu au taasisi inayotoa huduma ya kufanikisha usajili huu kwa gharama nafuu.

Kwa sasa nimesajili jina la biashara ambalo nafanyia biashara ya chakula.

Asanteni.
 
Kikubwa unasajiri brela biashara au kampuni, then unakwenda tra kupata tin number na kulipa kodi then utapewa tax clearance ambayo ni moja ya viambatanishi vya kupata leseni. Leseni za microfinance zinatolewa na BOT peke yake..
Ili kupata leseni, wanaangalia nini au mtaji unatakiwa kuwa kiasi gani?
 
Ili kupata leseni, wanaangalia nini au mtaji unatakiwa kuwa kiasi gani?
1. Docs za usajiri brela
2. Tin & tax clearance
3. Lending policy
4. Proof of the capital
5. Owners/ directors CVs

Vingine nakuangalizia i will share here.
 
1. Docs za usajiri brela
2. Tin & tax clearance
3. Lending policy
4. Proof of the capital
5. Owners/ directors CVs

Vingine nakuangalizia i will share here.
Ni biashara nzuri kama kwa warejeshaji watakuwa hawasumbui
 
Yes bot ni non refundable fee ya leseni ni laki 6
Kama una mtaji, inawezekana kufanyika na walengwa kama watakuwa ni hili kundi linalohitaji mikopo midogo midogo, mfano mama ntilie n.k inaweza kulipa kwa haraka
 
1. Docs za usajiri brela
2. Tin & tax clearance
3. Lending policy
4. Proof of the capital
5. Owners/ directors CVs

Vingine nakuangalizia i will share here.
Asante sana kiongozi. Hii lendung policy inapatikana vipi je kuna watu au taasisi zinazoandaa hii. Asante
 
Habari wanajasirimali wote. Nafikiri kufungua taasisi ya kukopesha fedha kwa kutoa mikopo ya wafanyabiashara na watumishi hasa taasisi za serikali na binafsi. Naomba kupatiwa uelewa wa namna ya kusajili na mahitaji yanayotakiwa kama vile nyaraka zinazotakiwa,mtaji na vitu vingine muhimu. NB kwa mikopo ya watumishi nahitaji niwenapata makato toka hazina.

Vile vile nahitaji kufahamu mtu au taasisi inayotoa huduma ya kufanikisha usajili huu kwa gharama nafuu.
Kwa sasa nimesajili jina la biashara ambalo nafanyia biashara ya chakula.

Asanteni.
 
Habari ya usiku wakuu. Asanteni sana kwa input zenu. Yote yaliyoshauriwa hapa nmeyafanyia kazi. Kwa sasa nipo stages za mwisho kusajili kampuni then kuanzia mwezi ujao may nifuatilie leseni ya kukopesha toka BOT. Mbarikiwe sana.
Vile vile napenda kujua kitu, napataje deduction code kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma ili kupata marejesho toka kwenye salalry slip? Asanteni
 
Back
Top Bottom