Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?

Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?

Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?
ninachofahamu SOKO huanzishwa na Halmashauri ya eneo husika kupitia sheria ndogo ya Usimamizi na Uendeshaji wa masoko na magulio ya halmashauri husika, na kuhusu vigezo vya kuanzishwa kwa soko bado linabaki kuwa ndani ya utashi au maamuzi ya halmashauri kwani ndio iliyopewa mamlaka kisheria japo vigezo vyake havikujatwa katika sheria ndogondogo. Pia mtu binafsi kisheria haruhusiwi kuanzisha soko au kuendeshaji pasipo kuwa na kibali maaulumu cha maandishi kutoka halmashauri husika.
 
Back
Top Bottom