Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajamvi heshima kwenu,
Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation.
Natanguliza shukrani
Wanajamvi heshima kwenu,
Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation.
Natanguliza shukrani
ni kati ya 130,000 mpaka laki 2 . Inategemea na aina ya camera. Ukihitaji fundi mwenye uzoefu na kupata bei ya kila kitu nicheki 0714890018
ni kati ya 130,000 mpaka laki 2 . Inategemea na aina ya camera. Ukihitaji fundi mwenye uzoefu na kupata bei ya kila kitu nicheki 0714890018
ni bei ya camera tu, dvr ina bei zake. Nafikiri tumeshawasilianaHii bei ni ya installation au? Kama unaongelea camera (hata kama ni 2) na dvr yake, wires etc hii bei ni ndogo. Hata mama ntilie wangefunga migahawani mwao
ni bei ya camera tu, dvr ina bei zake. Nafikiri tumeshawasiliana
Zikifungwa 4 ofisini kwetu kwa 3.2mil
Wanajamvi heshima kwenu,
Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation.
Natanguliza shukrani

mkuu kama unahitaji ni pm bei 600,000Package Included:
- 1 X 4CH 960H HDMI Onvif CCTV DVR(Hard Drive Not Included)
- 4 X 900TVL Waterproof IR-Cut Bullet Security Cameras
- 4 X 60ft(18.3M) Video + Power Cable for Security Cameras
- 1 X 1-4 Power Splitter Cable for Cameras
- 1 X USB Mouse For DVR
- 1 X Power Supply for DVR (UK Plug)
- 1 X Power Supply for Cameras (UK Plug)
- 1 X English User's Manual
- 1 X CD Software
View attachment 309515View attachment 309516mkuu kama unahitaji ni pm bei 600,000
Nahitaji ni pm
Sio kwa vibaka tu , inasaidia kuondoa utata unaojitokeza, ziko nyingine zinaitwa dummy cameras, ikikaa utajua ni kamera, kumbe ni boys tu fake limewekwa lakini mtu muovu anapata hofu.Aisee hii kitu ni muhimu sana maana vibaka wamezidi mtaani.