Naomba kufahamishwa bei ya CCTV camera

Naomba kufahamishwa bei ya CCTV camera

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,312
Reaction score
3,345
Wanajamvi heshima kwenu,

Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation.

Natanguliza shukrani
 
Mkuu,
minaweka picha kwa kurahisicha tu, ngoja wazee wa kujua bei wakuje
 
Attachments

  • 1449178495313.jpg
    1449178495313.jpg
    33.5 KB · Views: 1,030
  • 1449178509248.jpg
    1449178509248.jpg
    65.8 KB · Views: 954
  • 1449178524333.jpg
    1449178524333.jpg
    59.3 KB · Views: 887
  • 1449178538648.jpg
    1449178538648.jpg
    24.8 KB · Views: 886
  • 1449178550977.jpg
    1449178550977.jpg
    16 KB · Views: 863
  • 1449178564774.jpg
    1449178564774.jpg
    32.8 KB · Views: 913
Wanajamvi heshima kwenu,
Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation.
Natanguliza shukrani

Hivi vitu huku duniani ni bei chee kweli na screens zake sema bongo sina uhakika wanauzaje ila huku nahisi unaweza ukanunua na kufnga chumbani
 
Wanajamvi heshima kwenu,
Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation.
Natanguliza shukrani

ni kati ya 130,000 mpaka laki 2 . Inategemea na aina ya camera. Ukihitaji fundi mwenye uzoefu na kupata bei ya kila kitu nicheki 0714890018
 
ni kati ya 130,000 mpaka laki 2 . Inategemea na aina ya camera. Ukihitaji fundi mwenye uzoefu na kupata bei ya kila kitu nicheki 0714890018

Hii bei ni ya installation au? Kama unaongelea camera (hata kama ni 2) na dvr yake, wires etc hii bei ni ndogo. Hata mama ntilie wangefunga migahawani mwao
 
Hii bei ni ya installation au? Kama unaongelea camera (hata kama ni 2) na dvr yake, wires etc hii bei ni ndogo. Hata mama ntilie wangefunga migahawani mwao
ni bei ya camera tu, dvr ina bei zake. Nafikiri tumeshawasiliana
 
Asanteni wanajamvi kwakunipa mwanga
 
Ungetaja sehemu unapotaka kufunga hizo kamera ili iwe rahisi kwa wataaramu kukushauri ufunge cctv za namna gani na bei zake. Siyo kila kamera inaweza fungwa popote, mteja usiangalie unafuu wa bei pekeyake, angalia pia ubora + kamera sahihi kwa kazi unayotaka ifanye. Kamera zipo nyingi na zenye uwezo tofauti, mfano kamera za nje kuna fixed na PTZ (waterproof, na kuna ambazo siyo waterproof), uwezo wa lenzi pia upo tofauti kutegemea na mahitaji yako, pia kuna mambo ya day & night - kuna nyengine hazina uwezo wa kuchukua picha usiku kwenye giza. Upande wa kurekodi kuna DVR & NVR, pia kuna HDD ila ukubwa wa kuhifadhi itategemeana na matumizi yako, jaribu kuongea na mtaara akushauri ni vitu gani unapaswa kununua. Zile kamera ambazo zinauzwa kwa seti kwny box moja, mfano kamera 4 + dvr, kamera zake zinakuwaga hazina ubora sana ktk picha kulingana na sehemu utakayoenda kufunga.
Huo ndiyo uelewa wangu mdogo ktk cctv, hope wahusika au wadau wa hiyo fani watakueleza kiundani.
 
Wanajamvi heshima kwenu,

Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation.

Natanguliza shukrani

Package Included:

- 1 X 4CH 960H HDMI Onvif CCTV DVR(Hard Drive Not Included)
- 4 X 900TVL Waterproof IR-Cut Bullet Security Cameras
- 4 X 60ft(18.3M) Video + Power Cable for Security Cameras
- 1 X 1-4 Power Splitter Cable for Cameras
- 1 X USB Mouse For DVR
- 1 X Power Supply for DVR (UK Plug)
- 1 X Power Supply for Cameras (UK Plug)
- 1 X English User's Manual
- 1 X CD Software

1449425399577.jpg1449425412096.jpgmkuu kama unahitaji ni pm bei 600,000
 
Package Included:

- 1 X 4CH 960H HDMI Onvif CCTV DVR(Hard Drive Not Included)
- 4 X 900TVL Waterproof IR-Cut Bullet Security Cameras
- 4 X 60ft(18.3M) Video + Power Cable for Security Cameras
- 1 X 1-4 Power Splitter Cable for Cameras
- 1 X USB Mouse For DVR
- 1 X Power Supply for DVR (UK Plug)
- 1 X Power Supply for Cameras (UK Plug)
- 1 X English User's Manual
- 1 X CD Software

View attachment 309515View attachment 309516mkuu kama unahitaji ni pm bei 600,000

Nahitaji ni pm
 
+971554770786
Wasiliana na hawa waarabu dhs 721 unapata kila kitu
 
Aisee hii kitu ni muhimu sana maana vibaka wamezidi mtaani.
Sio kwa vibaka tu , inasaidia kuondoa utata unaojitokeza, ziko nyingine zinaitwa dummy cameras, ikikaa utajua ni kamera, kumbe ni boys tu fake limewekwa lakini mtu muovu anapata hofu.
 
Back
Top Bottom