Habari zenu!
Jana kupitia ITV niliona tangazo kutoka kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo akitangaza uuzwaji wa viwanja katika wilaya hiyo.
Kwakuwa napenda kumiliki kiwanja Bagamoyo lakini kwa sasa nipo mkoani kikazi sitaweza kufika ofisini na kufanya maulizo.
Naomba mtu yeyote anayefahamu kuhusu huo mradi anijulishe mahali ulipo, gharama za viwanja na taratibu za manunuzi kama inawezekana kwa mtu aliyepo mbali.
Asanteni.