Naomba namba zake.Mpigie simu Mkurugenzi.
Mkuu kununua kiwanja ukiwa mbali inabid ujiridhishe na hao wanaokuuzia ....au km una mtu aliyekaribu huko vinapouzwa mtume awe km muwakilishi.Habari zenu!
Jana kupitia ITV niliona tangazo kutoka kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo akitangaza uuzwaji wa viwanja katika wilaya hiyo.
Kwakuwa napenda kumiliki kiwanja Bagamoyo lakini kwa sasa nipo mkoani kikazi sitaweza kufika ofisini na kufanya maulizo.
Naomba mtu yeyote anayefahamu kuhusu huo mradi anijulishe mahali ulipo, gharama za viwanja na taratibu za manunuzi kama inawezekana kwa mtu aliyepo mbali.
Asanteni.
Ni kweli mkuu,ila hivi vinauzwa na serikali so hamna janja janja...Mkuu kununua kiwanja ukiwa mbali inabid ujiridhishe na hao wanaokuuzia ....au km una mtu aliyekaribu huko vinapouzwa mtume awe km muwakilishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata bei utujuze mkuuNi kweli mkuu,ila hivi vinauzwa na serikali so hamna janja janja...
Mkuu ukipata gharama utujuze .....Hivo Viwanja ni vya kuviendeleza sio kama vile unanunua unapotea miaka mitatu ndo unarudi,
Njoo Equity bank wakupe kiwanja cha mkopp
Equity bank wana toa viwanja vyenye hati kwa mkopo wa miaka miwili karibu ofini kwetu posta Golden jublee tower floor 3 Equity bank. Or nicheki WhatsApp 0715160365 kwa mawasilianoNaomba namba zake.
Equity bank wana toa viwanja vyenye hati kwa mkopo wa miaka miwili karibu ofini kwetu posta Golden jublee tower floor 3 Equity bank. Or nicheki WhatsApp 0715160365 kwa mawasilianoNaomba namba zake.
Nunueni tu akija rais mwingine itakua kama ile ya viwanja vya ChatoHabari zenu!
Jana kupitia ITV niliona tangazo kutoka kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo akitangaza uuzwaji wa viwanja katika wilaya hiyo.
Kwakuwa napenda kumiliki kiwanja Bagamoyo lakini kwa sasa nipo mkoani kikazi sitaweza kufika ofisini na kufanya maulizo.
Naomba mtu yeyote anayefahamu kuhusu huo mradi anijulishe mahali ulipo, gharama za viwanja na taratibu za manunuzi kama inawezekana kwa mtu aliyepo mbali.
Asanteni.
C vile viwanja vya dalali mwanamke ?Equity bank wana toa viwanja vyenye hati kwa mkopo wa miaka miwili karibu ofini kwetu posta Golden jublee tower floor 3 Equity bank. Or nicheki WhatsApp 0715160365 kwa mawasiliano
Ungeweka hata bei ya kiwanja cha chini kabisa na maeneoEquity bank wana toa viwanja vyenye hati kwa mkopo wa miaka miwili karibu ofini kwetu posta Golden jublee tower floor 3 Equity bank. Or nicheki WhatsApp 0715160365 kwa mawasiliano