Naomba kufahamishwa, hivi kwanini Tanzania hatuna mabasi mazuri ya Abiria kama Nchi za Jirani? Tazama Picha

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Ukitembelea Nchi za jirani hasa ukanda wa Sadc kuna mabasi mazuri Sana ya kusafirisha Abiria kwenye Nchi za Zambia,Angola,Zimbabwe,South Africa na Botswana nk..

Mabasi ya viwango na classic kama like la Azam nk lakini huwezi kuyakuta hapa Tanzania..

Swali shida ni nini hasa? Picha zinajieleza.
 
Attachments

  • Screenshot_20220816-172255.png
    Screenshot_20220816-172255.png
    228.7 KB · Views: 45
  • Screenshot_20220818-154445.png
    Screenshot_20220818-154445.png
    243.6 KB · Views: 45
Ukitembelea Nchi za jirani hasa ukanda wa Sadc kuna mabasi mazuri Sana ya kusafirisha Abiria kwenye Nchi za Zambia,Angola,Zimbabwe,South Africa na Botswana nk..

Mabasi ya viwango na classic kama like la Azam nk lakini huwezi kuyakuta hapa Tanzania..

Swali shida ni nini hasa? Picha zinajieleza
Tanzania yatapita wapi?
 
Yapo bandarini yanakuja
 
Tuanze na Tume huru ya uchaguzi mnayo Kama nchi jirani?
 
Mleta mada huko informed.

Tanzania watu walileta hadi mabasi yenye vyoo na bafu ndani nauli ilipowekwa yalikosa abiria na kampuni zingine zikafa kama Fresh ya Shamba nk.

Wateja ndio huamua ulete basi gani

Kalete wewe basi upige hela
 
Mleta mada huko informed
Tanzania watu walileta hadi mabasi yenye vyoo na bafu ndani nauli ilipowekwa yalikosa abiria na kampuni zingine zikama kama Fresh ya Shamba nk
Wateja ndio huamua ulete basi gani

Kalete wewe basi upige hela
Saizi yapo mbona Mzee,ila hayafanani na hayo mfano ABC upper class ya Mbeya Dar iko full 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220816-083818.png
    Screenshot_20220816-083818.png
    151.6 KB · Views: 33
Mleta mada huko informed
Tanzania watu walileta hadi mabasi yenye vyoo na bafu ndani nauli ilipowekwa yalikosa abiria na kampuni zingine zikafa kama Fresh ya Shamba nk
Wateja ndio huamua ulete basi gani

Kalete wewe basi upige hela

Exposure
Vipato vya walio wengi kua vya kawaida
Nahisi ni baadhi ya vikwazo!
Barabara?
 
Back
Top Bottom