The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #21
Wanashindwa ushindani,ulishindwa wewe wanakuja wengine ndio biashara hiyo..Pitia hizi gari za Zamani kwanza
Mfano Tanzanite,ABC,Master,Superfeo,Sauli,Happy Nation na kampuni zingine nyingi ni mpya kwenye hiyo route ni zinapiga mzigo👇