The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Tanzania yatapita wapi?Ukitembelea Nchi za jirani hasa ukanda wa Sadc kuna mabasi mazuri Sana ya kusafirisha Abiria kwenye Nchi za Zambia,Angola,Zimbabwe,South Africa na Botswana nk..
Mabasi ya viwango na classic kama like la Azam nk lakini huwezi kuyakuta hapa Tanzania..
Swali shida ni nini hasa? Picha zinajieleza
Ukitembelea Nchi za jirani hasa ukanda wa Sadc kuna mabasi mazuri Sana ya kusafirisha Abiria kwenye Nchi za Zambia,Angola,Zimbabwe,South Africa na Botswana nk..
Mabasi ya viwango na classic kama like la Azam nk lakini huwezi kuyakuta hapa Tanzania..
Swali shida ni nini hasa? Picha zinajieleza
Tuanze na Tume huru ya uchaguzi mnayo Kama nchi jirani?Ukitembelea Nchi za jirani hasa ukanda wa Sadc kuna mabasi mazuri Sana ya kusafirisha Abiria kwenye Nchi za Zambia,Angola,Zimbabwe,South Africa na Botswana nk..
Mabasi ya viwango na classic kama like la Azam nk lakini huwezi kuyakuta hapa Tanzania..
Swali shida ni nini hasa? Picha zinajieleza
Watu hatufananiDar Moro watasema 18,000/=
Saizi yapo mbona Mzee,ila hayafanani na hayo mfano ABC upper class ya Mbeya Dar iko full πMleta mada huko informed
Tanzania watu walileta hadi mabasi yenye vyoo na bafu ndani nauli ilipowekwa yalikosa abiria na kampuni zingine zikama kama Fresh ya Shamba nk
Wateja ndio huamua ulete basi gani
Kalete wewe basi upige hela
Zambia huko yanapita mbona barabara ni mbovu tuu πTz yatapita wp
huko Mbeya lazima wamlogeSaizi yapo mbona Mzee,ila hayafanani na hayo mfano ABC upper class ya Mbeya Dar iko full π
Basi liko chini kama mark XZambia huko yanapita mbona barabara ni mbovu tuu π
Njia ya Mbeya kuna chuma kali kuliko hiyo na zitazidi kuja ngoja barabara ya Igawa Tunduma iwe njia 4..huko Mbeya lazima wamloge
Ficha ushamba wakoNjia ya Mbeya kuna chuma kali kuliko hiyo na zitazidi kuja ngoja barabara ya Igawa Tunduma iwe njia 4..
Mnyama mwingine huyu hapa π
Ushamba gani tena ππ..Ficha ushamba wako
Mleta mada huko informed
Tanzania watu walileta hadi mabasi yenye vyoo na bafu ndani nauli ilipowekwa yalikosa abiria na kampuni zingine zikafa kama Fresh ya Shamba nk
Wateja ndio huamua ulete basi gani
Kalete wewe basi upige hela
Pitia hizi gari za Zamani kwanzaUkitembelea Nchi za jirani hasa ukanda wa Sadc kuna mabasi mazuri Sana ya kusafirisha Abiria kwenye Nchi za Zambia,Angola,Zimbabwe,South Africa na Botswana nk...
Ukiwa kama nani?Ficha ushamba wako