The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #21
Wanashindwa ushindani,ulishindwa wewe wanakuja wengine ndio biashara hiyo..Pitia hizi gari za Zamani kwanza
Duh imeanza lini hii?Njia ya Mbeya kuna chuma kali kuliko hiyo na zitazidi kuja ngoja barabara ya Igawa Tunduma iwe njia 4..
Mnyama mwingine huyu hapa [emoji116]
Mwezi wa 7Duh imeanza lini hii?
sijawahi kuiona naona Hawa wanaenda kuonyesha ushindani kwa Sauli na Newforce.
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Osaka !!Peace maker[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
King musukuma😂😂😂😂🤣🤣Osaka !!
Serikali imeanza kulifanyia Kazi hili swala la barabara..By next year wanaanza kujenga kwa njia 4 barabara ya Igawa hadi Tunduma,Kibaha hadi Chalinze to Morogoro na wataanza kuipanua ile ya Morogoro hadi Iringa.Mkuu mada nzuri ila kama kawaida tunaijibu kama wanafunzi wa F2,solution hapa ni moja nayo tufanye kazi ya kujenga nchi kwa smart way, sio kisiasa na mabavu, hiyo mifano wenzetu wanafanya kazi, Zambia Ile barabara ya kutoka Nakonde hadi Chinsali inajengwa kwa viwango vizuri kabisa,ni Pana na imara, Zimbabwe Ile barabara ya kutoka Beitbridge kwenda Harare wanaijenga kwa viwango, Botswana, SA, Namibia wapo in another level, wenzetu wanajenga upya sio kutia vilaka, na kuweka matuta ya ajabu kwenye freeways, buses hizi zinahitaji barabara nzuri na workshops za kisasa
Tatizo mkuu wangu sio njia 4 au8,tatizo ni quality ya barabara,,usijifanye ni msemaji wa serikali wakati unaendekeza ufisadi, hiyo barabara yaani T1 inahitajika kujengwa upya,life span yake imekwisha na inginia wewe waambie freeways hazina matuta, ila zinawekewa fixed speed cameras sip uchafu ule wa mikumi national parkSerikali imeanza kulifanyia Kazi hili swala la barabara..By next year wanaanza kujenga kwa njia 4 barabara ya Igawa hadi Tunduma,Kibaha hadi Chalinze to Morogoro na wataanza kuipanua ile ya Morogoro hadi Iringa.
Sasa nini maana ya kujengwa upya? Sio swala la kuwa msemaji kwani hujaona tenda zimetangazwa?Tatizo mkuu wangu sio njia 4 au8,tatizo ni quality ya barabara,,usijifanye ni msemaji wa serikali wakati unaendekeza ufisadi, hiyo barabara yaani T1 inahitajika kujengwa upya,life span yake imekwisha na inginia wewe waambie freeways hazina matuta, ila zinawekewa fixed speed cameras sip uchafu ule wa mikumi national park
[emoji23][emoji23] atakua hataki huyu!!Sasa nini maana ya kujengwa upya? Sio swala la kuwa msemaji kwani hujaona tenda zimetangazwa?
Kwa hiyo hutaki au?
Hujui mabasi weweNjia ya Mbeya kuna chuma kali kuliko hiyo na zitazidi kuja ngoja barabara ya Igawa Tunduma iwe njia 4..
Mnyama mwingine huyu hapa 👇
View attachment 2325036View attachment 2325037View attachment 2325038View attachment 2325039View attachment 2325078
Hii yote ni sababu ya Washamba wengi kujaa kwenye Vyombo vya juu vyenye mamlaka.Bus zuri kama hizo Serikali haitaki Wananchi wake wazitumie wameweka kodi kubwa sana ndio maana Wafanyabiashara wanaona wanunue za bei rahisi kwa Zambia wanunuzi wa bus za kutoa huduma kodi yake ipo chini pamoja na maroli ndio maana wao sasa hivi wapo na bus nzuri harafu zinaenda vijijini huko hata bara bara zenyewe ni mbovu tuu..miaka ya nyuma wao walikua wanakuja kupiga picha na Scandinavia bus hapo Intercity leo hatuna bus hata moja kama wao la abiria..
Huwa hatutaki porojo weka pichaHujui mabasi wewe
Kwa barabara gani ya kuweka hayo mabox ? Route ya dar kigoma kwa huo utumbo ??Ukitembelea Nchi za jirani hasa ukanda wa Sadc kuna mabasi mazuri Sana ya kusafirisha Abiria kwenye Nchi za Zambia,Angola,Zimbabwe,South Africa na Botswana nk..
Mabasi ya viwango na classic kama like la Azam nk lakini huwezi kuyakuta hapa Tanzania..
Swali shida ni nini hasa? Picha zinajieleza.
Barabara ziko classic kwani hizo tairi zitashindwa kutembea?Kwa barabara gani ya kuweka hayo mabox ? Route ya dar kigoma kwa huo utumbo ??
Hizi bus za kichina tu zimeburuza sana front bumper na overhanging kwa ujumla pale busisi wakati wa kuingia kwenye kivuko sembuse mashimo ya kakonko - kibondo?Barabara ziko classic kwani hizo tairi zitashindwa kutembea?