Naomba kufahamishwa, hivi kwanini Tanzania hatuna mabasi mazuri ya Abiria kama Nchi za Jirani? Tazama Picha

Exposure
Vipato vya walio wengi kua vya kawaida
Nahisi ni baadhi ya vikwazo!
Barabara?
Hiyo ndio sababu kubwa, unajua nchi kama zambia, namibia, botswana, zimbabwe, na south Afrika, wananchi wao wamezoea maisha fulani hivi kama ya kizungu hawataki shida, hivyo hata nauli za mabasi kama hayo wanaweza kuzimudu, lakini hapa kwetu kutokana na fikra za kimasikini tulizojengewa vichwani, yaani utofauti wa nauli wa 5000 tu mtu anaona ni kama 50000!!anapigia mahesabu hiyo 5000 tayari ni ya kura njiani.Wewe subiria uone hiyo SGR, ikamilke dar-dodoma, ambayo ni safari ya masaa 3, umwambie mtu nauli ni 30000 wakati huo kwa busi 22, 000 ambayo ni masaa 10 uone ni wangapi watapanda treni.
 
Mleta mada huko informed.

Tanzania watu walileta hadi mabasi yenye vyoo na bafu ndani nauli ilipowekwa yalikosa abiria na kampuni zingine zikafa kama Fresh ya Shamba nk.

Wateja ndio huamua ulete basi gani

Kalete wewe basi upige hela
Mmmh kwa hiyo yenye choo sasa hivi hayapo kisa abiria?mbona yapo mengi tu,uzuri wa basi sio choo.
 
Iyooo mibasi aitufai
Kwanza ina speed ya kobe
Ya engine nyuma,
Yapo chin sn
hayendani na balabala zetu
Sw yapakia abiria wengi yan dauble decker, dar mwanza siku 2
 

Attachments

  • Screenshot_20220827-211445.png
    159.2 KB · Views: 23
  • 20220826_142755.jpg
    31.3 KB · Views: 21
  • 20220816_082011.jpg
    20 KB · Views: 22
Serikali imeanza kulifanyia Kazi hili swala la barabara..By next year wanaanza kujenga kwa njia 4 barabara ya Igawa hadi Tunduma,Kibaha hadi Chalinze to Morogoro na wataanza kuipanua ile ya Morogoro hadi Iringa.

Sasa kumbe unaelewa changamoto ni muundo mbinu na unaulizia kwanini hizo bus hazipo kwetu?

Hua nashangaa barabara ya Dom kwenda Shinyanga imejengwa karibuni lakini kiwango duni sana, Sasa hivi inatafuna pesa za ukarabati ambao Bado hautatoa suluhisho la kudumu licha ya kutumia pesa nyingi. Tunakwama sana kwenye mipango endelevu.
 
Wanashindwa ushindani,ulishindwa wewe wanakuja wengine ndio biashara hiyo..

Mfano Tanzanite,ABC,Master,Superfeo,Sauli,Happy Nation na kampuni zingine nyingi ni mpya kwenye hiyo route ni zinapiga mzigo[emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We jamaa bana. Basi za kizee sana hizi.
 
Dar Arusha coming soon 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220905-212127.png
    201.7 KB · Views: 26
Dar Mbeya to be launched soon 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-204042.png
    154.9 KB · Views: 28
Ukileta mabasi mazuri kama haya Bongo, utawajua TRA ni kina nani utasakamwa, yumbishwa ,nyonyolewa ,yaani bei ulionunulia basi watakulipisha mara 3 zaidi ya uliyonunulia, hapa kwetu TRA hawataki magari latest ndio mana watu wanaingiza mikweche ndio yenye kodi kibaba
 
Mkuu kama TRA hawataki gari latest, mbona latest trucks ni nyingi?

Au wamiliki wa malori hawafanyiwi zengwe?
 
Hizo basi east Africa zipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…