Naomba kufahamishwa Hotel or lodge, Airbnb nzuri kwa Dar

Naomba kufahamishwa Hotel or lodge, Airbnb nzuri kwa Dar

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
422
Reaction score
497
Hello guys habari za asubuhi

Samahani naomba kwa wenye kufahamu hotel, lodge au airbnb kwa hapa Dar es salaam ambayo naweza kaa kwa usiku mmoja wa leo ila cost zisivuke 150,000

Naomba kuzifahamu kwa majina na maeneo zilipo zisiwe nje sana ya jiji ili iwe rahisi kwa asubuhi kureport kazini maeneo ya Temeke

Kwa wale wenye biashara hizi naombeni details, au kwa ambao tayari mlishaa kaa mahari na pakawa vizur naomba kufahamu

Asante sana
 
Download app ya Air BnB utaziona zote zilizopo karibu na sehemu unayotaka kukaa. Nyingi ziko Sinza, Kinondoni, Mikocheni, Ubungo, Makongo, Mwenge, Mbezi Beach etc.​
 
Back
Top Bottom